Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
upo sahihi.Mkuu ila naamini unyakuo itakuwa kimya wala haitajulikana ila sasa baada ya kukaa huko mbinguni na kisha kurudi ndio watamwona au mimi nimetafsir vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo sahihi.Mkuu ila naamini unyakuo itakuwa kimya wala haitajulikana ila sasa baada ya kukaa huko mbinguni na kisha kurudi ndio watamwona au mimi nimetafsir vibaya.
Mkuu ila naamini unyakuo itakuwa kimya wala haitajulikana ila sasa baada ya kukaa huko mbinguni na kisha kurudi ndio watamwona au mimi nimetafsir vibaya.
Mkuu ila naamini unyakuo itakuwa kimya wala haitajulikana ila sasa baada ya kukaa huko mbinguni na kisha kurudi ndio watamwona au mimi nimetafsir vibaya.
Warumi Kama warumi.Hujakosea mkuu.
Pope Francis Urges Jews to "Kill Jesus Again"if He Returns to Earth.
Pope Francis left onlookers stunned at an Italian prison when he made a statement that sent shock waves through the Catholic Church.
Y2k kirefu chake niniY2K nilishangaa wazungu walisema ni mwisho wa Dunia halafu cha ajabu walikuwa wanapigana vikumbo wakinunua mamia ya toilet paper na maji sijui walikuwa wanaenda nayo wapi
Hizo ndio akili za wazungu msizozijua
Hawa waliosema "sisi tulio hai" bado wapo hai?1 Wathesalonike 4 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁷ Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
Kwani Netanyahu anabiga wayahudi we zake? 😀Acha kujidanganya mkuu, Yesu hawez kurudi.
Tena Kwa wayahudi tulionao sahivi, watampiga Yesu makombora mpk achakae.
Bora kina Pilato walimhurumia wakamgonga misumari nchi 6 mikonini na miguuni Ila wakauacha mwili wake angalau unatambulika ukiutizama
Ila Kina Netanyau hawacheki na kima, wataulipua,kuuchakaza na kuufukia na vifusi vya Gaza.
Mkuu umesahau,milima pia itakimbia kujisitiri na hasira zake,dunia itakunjwa kama karatasiUna akili mdogo sana ,Kurud Kwa Yesu hakutakua Kwa kinyonge na ufukara kama unavyowaza kiufukara itakua ni tukio la kutisha mnoo.. kama unadhan natania kawaulize wale walinzi pale kaburini wakati anafufuka yaan walkua kama wafu wakat Mwanaume anafufuka palikua hapatoshi ,Kwa iyo hayo mabomu ya Netenyau yenyewe yatasema Yesu amerudi ,miti itasema Yesu amerudi,mamba itakiri Yesu amerudi ,Samia,Museven,Ruto,kagame,askofu, Sheikhe ,imamu,Mufti woooote watasema Yesu amerudi kulichukua kanisa, ng'ombe wako kuku,meza kabati, vijiko, kitanda vyooote vitasema ni mwisho wa Dunia
Nimedokezwa kwamba ataikutaWacha weeeee!!! CCM ataikuta?
Soma Biblia vizuri kaka dhiki itawakuta wema na wabaya wote hapa duniani ndiyo maana Yesu akasema kama hizo siku zisipofupishwa hakuna mtu ambaye ataokokaPia tujue hili,
Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.
Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.
Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
🙄Bangi sio dhambi. Ni mmea asili
Hawa waliosema "sisi tulio hai" bado wapo hai?
Umetoa mijicho🙄
Wanamsemea?
Aliwaambia hakuna ajuaye siku wala saa
unavyoitetea mh!Umetoa mijicho🙄