Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alkasuschai zipo nyingi camomile, hibiscus, green tea, ginger,ice tea ama huwa unakunywa na coffee..??
Mpango wa CCM ni kukabidhi madaraka Kwa mesia mwana wa Mungu sio Kwa Genge la kihuni litakalotuondolea ukomo wa madarakaWacha weeeee!!! CCM ataikuta?
mh! endelea kudanganywa hivyohivyo ati hotel kuna alkasusu hivyo vi lodge bubu ndo hotel!, ogopa matapeli demi!.Alkasus
Ha haaa fala wewemh! endelea kudanganywa hivyohivyo ati hotel kuna alkasusu hivyo vi lodge bubu ndo hotel!, ogopa matapeli demi!.
mume unamuita fala...😃 utachika vibaya wewe!Ha haaa fala wewe
Kaachika mke wa bill gate sembuse mimi. Ila yeye hajaachika vibaya lohmume unamuita fala...😃 utachika vibaya wewe!
mimi sijui kuacha mimi najua kupenda tu!, pendo langu ni kama ngozi huwezi kulivua!, halafu nakshi yake ni kama damu ukiikosa tu unakufa!Kaachika mke wa bill gate sembuse mimi. Ila yeye hajaachika vibaya loh
Nyie ving'ang'anizi ndo mwisho wa siku mnapigwa na kitu kizitomimi sijui kuacha mimi najua kupenda tu!, pendo langu ni kama ngozi huwezi kulivua!, halafu nakshi yake ni kama damu ukiikosa tu unakufa!
Mh! bora king'ang'anizi kuliko nyie vilamba mwiko leo huku kesho kule mnakonda ma vi UTI pro max nginjanginja..🤣Nyie ving'ang'anizi ndo mwisho wa siku mnapigwa na kitu kizito
Leo huku kesho kule kutafuta nini? Ni genye tu au kuna kingine special.Mh! bora king'ang'anizi kuliko nyie vilamba mwiko leo huku kesho kule mnakonda ma vi UTI pro max nginjanginja..🤣
hawezi kurudi we kile kipigo unakichukuliaje...😅Leo huku kesho kule kutafuta nini? Ni genye tu au kuna kingine special.
Masiha anarudi kaa mkao.
Ha haaa wewe umeshindikana. Kuna mmoja kasema akirudi atakutana na kipigo cha Ndetanyahu kile cha pilato kilikuwa cha mtotohawezi kurudi we kile kipigo unakichukuliaje...😅
we huogopiHa haaa wewe umeshindikana. Kuna mmoja kasema akirudi atakutana na kipigo cha Ndetanyahu kile cha pilato kilikuwa cha mtoto
Naogopa kwa niaba yakewe huogopi
Bila shaka wewe ni msabatoPia tujue hili,
Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.
Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.
Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
acha bangi sasa ili umaanishe kuogopaNaogopa kwa niaba yake
Badala ya kunukuu alichokisema Yesu mwenyewe kuhusiana na mwisho wa dunia na kurudi kwake mara ya pili mlikuwa mnasubiri mdanganywe na wahuni?. Hakukuwa na Biblia?Pengine wewe bado mtoto mdogo wa 2000, ila sie wazee wako tulishaahidiwa na manabii wa kizazi kipya kuwa mwisho wa dunia ulikuwa mwaka 1978, wakachemka tena na kusema mwaka 1982 mara 1999......cha kushangaza mpaka leo bado tunapeta tu na kugawana dhambi according to dini za kuletewa.
Bangi sio dhambi. Ni mmea asiliacha bangi sasa ili umaanishe kuogopa