Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Kaachika mke wa bill gate sembuse mimi. Ila yeye hajaachika vibaya loh
mimi sijui kuacha mimi najua kupenda tu!, pendo langu ni kama ngozi huwezi kulivua!, halafu nakshi yake ni kama damu ukiikosa tu unakufa!
 
Hizi taarifa ni kweli ndugu mtoa madam.unachotakiwa kufanya ni kutoa hela na mali zako zote mnipe haraka sana,wajinga nyie
 
mimi sijui kuacha mimi najua kupenda tu!, pendo langu ni kama ngozi huwezi kulivua!, halafu nakshi yake ni kama damu ukiikosa tu unakufa!
Nyie ving'ang'anizi ndo mwisho wa siku mnapigwa na kitu kizito
 
Nyie ving'ang'anizi ndo mwisho wa siku mnapigwa na kitu kizito
Mh! bora king'ang'anizi kuliko nyie vilamba mwiko leo huku kesho kule mnakonda ma vi UTI pro max nginjanginja..🤣
 
Mh! bora king'ang'anizi kuliko nyie vilamba mwiko leo huku kesho kule mnakonda ma vi UTI pro max nginjanginja..🤣
Leo huku kesho kule kutafuta nini? Ni genye tu au kuna kingine special.

Masiha anarudi kaa mkao.
 
Leo huku kesho kule kutafuta nini? Ni genye tu au kuna kingine special.

Masiha anarudi kaa mkao.
hawezi kurudi we kile kipigo unakichukuliaje...😅
 
hawezi kurudi we kile kipigo unakichukuliaje...😅
Ha haaa wewe umeshindikana. Kuna mmoja kasema akirudi atakutana na kipigo cha Ndetanyahu kile cha pilato kilikuwa cha mtoto
 
Pia tujue hili,

Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.

Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.

Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
Bila shaka wewe ni msabato
 
Pengine wewe bado mtoto mdogo wa 2000, ila sie wazee wako tulishaahidiwa na manabii wa kizazi kipya kuwa mwisho wa dunia ulikuwa mwaka 1978, wakachemka tena na kusema mwaka 1982 mara 1999......cha kushangaza mpaka leo bado tunapeta tu na kugawana dhambi according to dini za kuletewa.
Badala ya kunukuu alichokisema Yesu mwenyewe kuhusiana na mwisho wa dunia na kurudi kwake mara ya pili mlikuwa mnasubiri mdanganywe na wahuni?. Hakukuwa na Biblia?
 
Back
Top Bottom