NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
uzee wa ccm ni hekima kubwa kwa nchi jira na taifa kwa ujumla.Sasa wamekuambia Mimi nimzee mpaka niwe ccm ..ccm nichama cha watu wasiokuwa na maisha bora watu wavijijini huko waliougua corona wakaenda kujiuguzia chattle .
utawala wa ccm umeweza kuwadhibiti nyinyi magaidi mlikuwa mnatamani saana sana kuleta vita.
utawala wa ccm unawapa tiba ya akili vijana waliokosa adabu kama mdude.
utawala wa ccm ndo unalisha chakula kenya,rwanda na burundi,
utawala wa ccm ndo unadhibiti usalama wa anga la rwanda na burundi.
Sent using Jamii Forums mobile app