Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Sasa wamekuambia Mimi nimzee mpaka niwe ccm ..ccm nichama cha watu wasiokuwa na maisha bora watu wavijijini huko waliougua corona wakaenda kujiuguzia chattle .
uzee wa ccm ni hekima kubwa kwa nchi jira na taifa kwa ujumla.
utawala wa ccm umeweza kuwadhibiti nyinyi magaidi mlikuwa mnatamani saana sana kuleta vita.
utawala wa ccm unawapa tiba ya akili vijana waliokosa adabu kama mdude.
utawala wa ccm ndo unalisha chakula kenya,rwanda na burundi,
utawala wa ccm ndo unadhibiti usalama wa anga la rwanda na burundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa basi kazee kenu kaambieni kaludi ofisini kasikae kudandia makanisa wakati nikauaji.
 
Sawa basi kazee kenu kaambieni kaludi ofisini kasikae kudandia makanisa wakati nikauaji.
usikalili.dunia ipo kiganjani.
rais anafanya kazi popote ndani ya jamuhuli ya muungano wa tanzania.
na kwa taarifa yako kaongeza siku.atakaa huko zaidi ya mwaka ili mzidi kuumia nafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu yenu roho yake nimzee wavituko mtu mzima kuzungumza kingereza kinampa shida sijui ccm walimuokota wapi huyu mlevi.
utumwa wa fikra.Obasanjo iliwai kuongea ki hauisi ndani ya white house na wakaelewana.
magufuli katoa hutuba ya kiswahili kuhusu vipimo vya corona lakini inajadiliwa ulaya na amerika.
jiulize wao wamejuaje lugha ya kiswahili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Pouwa ngoja tuone baada ya dakika 90 game itaishaje.
 
Back
Top Bottom