Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Nina wasiwasi na wewe, Akili na busara yako ni ndogo sana na pia IQ ndogo, maandiko yako yote yanafanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Himaya imefitinikaHali ni mbaya!
Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.
Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.
Umemsikia balozi wa Kenya? Unamwona punguwani? Subiri muda uongeeMtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Umemsikia balozi wa Kenya? Unamwona punguwani? Subiri muda uongee
nimecheka kwa sauti. Pete tena?Subirini tuwavishe pete
Simple MindCorona tutaishi nayo kwa kinga ya mwili. Wanasayansi wanapendekeza mwingiliano unasaidia kukuza kinga kwa kubadilishana backeria na virus.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikin uwezo wake wa kufikiria ndo umeishia hapa.Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Tuwawoenimecheka kwa sauti. Pete tena?
A few weeks ago, Rwanda’s sole cement producer, CIMERWA Ltd announced that it had made about Rwf4.5 billion francs in profit, a 24% margin, after several years of shifting difficult gears to find a profitable momentum. tuendelee kujifukiza tu, bila kusahau ndimu na tangawizi.........by the way nikufahamishe tu kwamba sera za Rwanda hawakubali sorce of energy inayochafua mazingira so hawatumii makaa ya maweHali ni mbaya!
Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.
Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.
mfano wa kiwanda kilichokufa? nyie hamjafunga lakini serena, protea hotel etc zimefungwa.viwanda vinakufa huko kwenu rwanda na chakula kimeisha.
mnazidi kuwa na maisha magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
rwanda maisha ni magumu.mnategemea tanzania.mfano wa kiwanda kilichokufa? nyie hamjafunga lakini serena, protea hotel etc zimefungwa.
Huna taarifa sahihirwanda maisha ni magumu.mnategemea tanzania.
madereva wa tz wamegoma.hamna chakula.badhaa kutoka tz haziingii rwanda.
nakushauri kipindi hiki usiende rwanda utakufa njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
dunia ya sasa hamna kitu kinafichika.Huna taarifa sahihi
Lazima utakuwa ni scientist, uliyoyasema hapo ni makubwa sana.Corona tutaishi nayo kwa kinga ya mwili. Wanasayansi wanapendekeza mwingiliano unasaidia kukuza kinga kwa kubadilishana backeria na virus.
Sent using Jamii Forums mobile app