Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.

Nina wasiwasi na wewe, Akili na busara yako ni ndogo sana na pia IQ ndogo, maandiko yako yote yanafanana.
 
Hali ni mbaya!

Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.

Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.
Himaya imefitinika

Jr[emoji769]
 
Mtaanzisha thread za uongo nyingi lakini....Watz mmejaa corona hadi inamwagika kwaiyo mkae kwenu msitusambazie corona sisi wanyarwanda.
Umemsikia balozi wa Kenya? Unamwona punguwani? Subiri muda uongee
 
Dah hii nchi yangu naipenda sana hasa linapokuja swala la kama nchi na majirani zetu yaani automatically huwa tunakuwa wamoja
 
Hali ni mbaya!

Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.

Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.
A few weeks ago, Rwanda’s sole cement producer, CIMERWA Ltd announced that it had made about Rwf4.5 billion francs in profit, a 24% margin, after several years of shifting difficult gears to find a profitable momentum. tuendelee kujifukiza tu, bila kusahau ndimu na tangawizi.........by the way nikufahamishe tu kwamba sera za Rwanda hawakubali sorce of energy inayochafua mazingira so hawatumii makaa ya mawe
 
mfano wa kiwanda kilichokufa? nyie hamjafunga lakini serena, protea hotel etc zimefungwa.
rwanda maisha ni magumu.mnategemea tanzania.
madereva wa tz wamegoma.hamna chakula.badhaa kutoka tz haziingii rwanda.
nakushauri kipindi hiki usiende rwanda utakufa njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May 2020
Rusumo border Tanzania / Rwanda
Dereva toka Tanzania aongelea changamoto
 
Back
Top Bottom