Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Kuna nchi na viinchi mkuu kura yako moja Tanzania haina nguvu sawa na kura moja ya Marekani.
 
The Trump anakuja, sio Obama. Yeye hatakagi ujinga wenu wa kiafrika.
 
Haya maneno ya kweli? Kuhusu maofisini?
 
Changamoto za jinsi zinatufanya tukomaee. Mbona pesa za MCC walisitisha na tumeendelea kuwepo. Huu si wakati wa kuendelea na zoezi la kapu.
Ndiyo maana serikali inatumia michango ya rambirambi kujengea miundombinu.
 

Dah aisee kwa hiyo wewe hapa hujaandika kinazi ? "Maalim Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar na haitatokea kuwa hivyo"Hivi mnalishwa nini huwa ? Hapo ameonyesha kufurahia au kaandika kwa uchungu ili wanaosababisha haya yote wabadilike ?

Na wewe ni mama wa familia ? Kazi kweli kweli
 
Mungu ni Mwema
 
sisi watanzania tumeshazoea shida sasa hivo vikwazo tukiwekewa na hao wamarekani sisi itatusaidia nini maana tushazoea shida hebu mnaelewa hili jambo mtusaidie
Unamaanisha Mchafu hachafuki!?
 
Kuna nchi na viinchi mkuu kura yako moja Tanzania haina nguvu sawa na kura moja ya Marekani.
Mkuu UN kuna vitengo sita ambavyo ni
1 General Assembly. President.
2 Security Council. Members.
3 Economic and Social Council.
4 Secretariat. Secretary-General. Deputy-Secretary General. Under-Secretary-General.
5 International Court of Justice. statute.
6 Trusteeship Council.

Na wenye kuweka vikwazo ni mkutano wa General Assembly ambao ni wanachama wote si Security Council. Members. ambao ni wababe wa dunia
 
Tunashukuru kwa tetesi hiyo.
But U.S should leave us free as sovereignty state.
 
Mkuu acha kutokwa na povu kwa kulilia misaada ya wazungu, tufanye kazi kwa bidii watz wote tuachane na dhana ya bila misaada nchi haiendelei. Nchi yetu tuna rasilimali karibu aina zote kwa hiyo habar za misaada tuziweke kando tupige kazi
 
Hakuna mgogoro wowote..CUF kupitia mwenyekiti wao Lipumba wameshamtambua rais shein😡
 
Haya maneno ya kweli? Kuhusu maofisini?
fanya utafiti. hela za kuendesha ofisi huko sekta ya umma hamna, na mwaka 2020 vyama vya upinzani vijijenge tu vitakuwa na kazi ndogo sana kwasababu hakuna uchumi unaojengwa hapa na wajenga uchumi wanafanya kazi katika mazingira magumu sana sana. uliza mfanyakazi wa umma yeyote atakuambia.tunawaona wanavyohangaika na tunaongea nao kila siku, wanatia huruma na wanapata shida sana.
 
Umafia wa CCM ndio utaliangamiza taifa sio CUF na CHADEMA, na hakuna anaefurahia nchi kuwkewa vikwazo bali ni CCM wenyewe ndio wanafurahia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…