Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Marekani mmeifanya kuwa Mungu,wenu unakaa unaabudu mtu fanya kazi acha fikra mfu,kwani kama wao waliendelea sisi tutashindwa nini.
Misaada yenyewe ni ukoloni mtupu halafu mnaleta ngonjera hapa.
 
Sasa tukiwa kama Venezuela au Zimbabwe, itakuwa faida ya nani?kati ya wanaosema Zanzibar kuna mgogoro au wanaosema zanzibar hakuna mgogoro, mwisho wa siku time will tell,
 
Sishangwazwi sana na uamuzi huu wa serikali ya marekani after all it's the most evil nation in the world.Kinachonishangaza though ni timing ya hatua hiyo.Is it being done to coincide with time of most need so that it may cause maximum damage?Tukumbuke kwamba Tanzania iko kwenye njaa ambayo nadhani haijawahi kulikumba taifa hili tangu ipate uhuru wake mwaka 1961. Tusubiri tuone.

Taifa la Marekani linaruhusu wananchi wake wawe abducted halafu wafanyiwe experiments za kinyama na Aliens involving mutilations in exchange for technologies.Sasa what do you expect out of such a evil nation. To me the US has got no moral authority to impose sanctions on Tanzania. It's such an evil nation.


However if indeed America imposes sanctions on Tanzania,we will have no alternative but to go on our own.If Iran has managed we also can.

Was this confrontation with America however necessary?Not at all.Tanzania should have been more logical in its approach on the Zanzibar issue.
 
Hata kama ni kweli, USA mpya inazaliwa Januari 20. D.Trump hataki huo ujinga!
Barbarosa nilishakuambia kuambia katika thread yako ya jana ya' CCM kuendelea kutawala muda mrefu' kuwa, Zanzibar itaendelea kuwatesa na kututesa tusio na makosa mpaka mwisho wa dahari, kama hamtaichia iwe dola huru kama ilivyokuwa tokea mwaka 1882 ambapo balozi kama za Marekani na Uingereza zilikuwapo huko. Sijui Tangnyika tulikuwa katika hali gani wakati huo.
 
Hii dhana ya kusema Maalim Seif abadan hawezi kuwa rais wa Zanzibar inahitaji maelezo ya kina. Kwa nini asiwe wakati wananchi wa Zanzibar ndio wanaompa kura za ushindi tokea mwaka 95. Je watawala hawampendi yeye au wanawapuuza wananchi. Hawataki Seif atawale je kwa sababu ni mzanzibari safi?.au ni mpemba kindakindaki, au kwa rangi yake ya kipemba, au kwa uadilifu wake na ukweli wake. kuna siri gani iliyojificha hapa, je au kwa sababu babu yenu Nyerere aliwausia kwamba mpemba asijepewa madaraka kwamba anawaogopa hawakubali kutawaliwa na mtu. Yeye alifanikiwa kuwaweka mazumbukuku walowezi wake ndani ya madaraka ya Zanzibar ili wamuabudu.
Ukweli kwa vijana wa leo ni kuonesha ukosefu wa nadhari kusema kwamba fulani hawezi kutawala wakati wananchi wenyewewe ndio walioamua. Ingawa wazungu wanaubaya wao lakini katika mambo ya ukweli hujaribu kuukubali kinyume na waafrika ambao hujifanya miungu watu wapiga dili.
 
Marekani kitu gani? Sisi marafiki zetu wakubwa ni China. Ndiyo maana Marekani walipositisha msaada wa MCC, rafiki zetu China wakaziba pengo hilo.Baada ya kuona china wameleta msaada mkubwa zaidi, Marekani nao wakaahidi msaada kwa njia nyingine. Lakini,sisi watanzania tuna akili mbovu kiasi gani mpaka tunashabikia Marekani kusitisha misaada?
Je, wewe unayeshabikia ujinga huo upo sawa sawa kweli?
 

Tetesi pia huwa na Chanzo
 
Mungu wabariki Wazungu .
 
Mbona unalalamika tuu mkuu badala yakuja na utetezi kuhusu hiyo mada...
 
Dua la kuku halimpati mwewe utaendelea na tetesi zako huku watu wanapiga kazi. Tetesi kwa kawaida hazina source umeamua kujificha kwenye tetesi kujifariji.
 

kwa hiyo ''mgogoro wa zanzibar'' ndio sababu ya njaa.? UKAWA na ndoto zenu za majinamizi mtahangaika sana.
 
nyie ndiyo mkiambiwa watoto wenu ni wezi wala unga mnawatetea kwa gharama yoyote ile.

kila jambo lina wajibu wake, mmepoka ushindi wa Seif mtawajibika ipasavyo.

USA shusha runga upesi.
Dua la kuku halimpati mwewe rungu atashishiwa mama yako
 
Mkuu umeandika kwa niaba ya Mungu au? au we ndo Mungu mwenyewe?
 
Vipi ya Zanzibar yanaifanya Tanzania kua angle nation ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…