GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
kama mtoa postKuishi kwa Matumaini sio kwa Wenye Ukimwi tu hata Wenye Mihemko ya Kisiasa pia
kama mtoa post
Kuishi kwa Matumaini sio kwa Wenye Ukimwi tu hata Wenye Mihemko ya Kisiasa pia
kuna mambo mengine mtu anafikiria mwenyewe na kuposti.....
tetesi za uongo hizoTunahitaji mwenye taarifa rasmi kutoka taasisi husika. Hizi hazisaidii
Inaonekana una hasira Mkuu. Yaani haya mambo yamezagaa kule zenji wewe unaita upuuzi . Si ungepuuza tu baada ya kusomaKuna zingine huwa si tu ni ' tetesi ' bali ni ' upuuzi / upupu ' tena uliotukuka. CUF Zanzibar wasahau kuwa na Serikali yoyote ile ya Mseto na ningewashauri tu kuliko kupoteza muda wao ni bora tu sasa wajikite katika Kujijenga Chama chao ili angalau mwaka 2020 waweze tena ' Kujitutumua ' Kisiasa japo najua hawataambulia chochote.
tetesi za uongo hizo
hakuna kitu kama hiko subirini uchaguzi 2020 full stop acheni mihemko.Lete tetesi za kweli ili maisha yaendelee. Itakuwa vyema wahusika na wenye mamlaka wakatoa ufafanuzi.
Inaonekana una hasira Mkuu. Yaani haya mambo yamezagaa kule zenji wewe unaita upuuzi . Si ungepuuza tu baada ya kusoma
Umedanganywa tu hakuna lolote ambalo unajitahidi kutuaminisha limetokea au linaendelea huko Zanziabar. Fuatilia vizuri kisha utayaamini haya maneno yangu. Zanzibar yote ni salama na shwari tena 100%.
Seif amekubali kupima mkojo? Mpaka apimwe ndo ataruhusiwa kuingia ikulu.
Nafikiri lolote laweza kutokea manake Shein atapenda ajenge heshima/taswira njema hasa ktk awamu hii ya mwisho, otherwise atakumbukwa kwa kuharibu baada ya mwenzake Karume kupata mwafaka wa Znz.