GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna zingine huwa si tu ni ' tetesi ' bali ni ' upuuzi / upupu ' tena uliotukuka. CUF Zanzibar wasahau kuwa na Serikali yoyote ile ya Mseto na ningewashauri tu kuliko kupoteza muda wao ni bora tu sasa wajikite katika Kujijenga Chama chao ili angalau mwaka 2020 waweze tena ' Kujitutumua ' Kisiasa japo najua hawataambulia chochote.