GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe na mawithin yako hutakaa upate hata uenyekiti.... Zee fulan nafaki sana
 
Mkuu hii comment yako ina kupunguzia credibility yako huku ndani.Kwa nini nasema hivi ni lini matokeo haya kulazimishwa?2010 una kumbuka hali ilivyo kuwa tense hadi "watu" wakasema uchaguzi ji suala la familia?
1995
2000
2005
CCM walikuwa wanashinda kweli japo si kwa margin kubwa sana!

Mwaka 2020 uchaguzi matokeo hayajawahi tangazwa popote ! Waliyotangaza ni feki

Nadiriki kusema kwamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa nafuu kuliko wa 2020

Britanicca
 
Wanatumia mabilioni kwenye uchaguzi huku wakijua ni fix tupu🤔
 
Kusahau kuweka hiki ulichowahi kusemaga, tayari unaonesha wewe u muongo muongo
Hapa ulisema raisi 2025 atakua mwingine(mwanaume), ukasema mpango ndio mpango mzima. Mkeka ushachanika

Hilo lingetokea ungerudi leo kutaka sifa, ulipoona keka limechanika kuhusu mpango, ukasema ni Nchimbi. Keka kuhusu Nchimbi nalo limechanika Ila sioni leo ukizingumza yote hayo umepiga kimya, umekuja na maandiko mengine haya umeyaruka
 
Kuna mmoja alisema Waziri mkuu majaliwa hatakuwa Tena waziri mkuu baada ya 2025

Nikamuuliza hii mbona ipo obvious wala sio Jambo la kujisifia. Kishakua waziri mkuu kwa miaka 10, hakuna maajabu yoyote angeweza tena kuendelea kuwa waziri mkuu zaidi ya hapo
 
Hivi kuna waziri mkuu gani mwingine aliyewahi kuhudumu kwa miaka 10 straight? Sumaye?
 
Hata kwa namba inaonyesha wazi. Mwaka 2015 ni miaka 20 tangu vyama vingi. Maana yake kizazi cha wapiga kura vijana kilikuwa kikubwa, kuanzia 20-30. CCM iliona tishio lisilo na shaka
Ushindi wa Magufuli ulikuwa 53% licha ya msaada mkubwa wa dola na kila anaina ya 'fojari'' hakuna shaka Magufuli alijua 2020 atapoteza ukizingatia hakuwa mwanasiasa mwenye ushawishi wa hoja.
Kazi ya kuua upinzani kama alivyosema ilianzia hapo, na njia rahisi ni kupitia ''Uchafuzi''

Tukaanza kuona chaguzi za marudio vyombo vya dola na taasisi za kimamlaka zikishiriki bila kificho kunajisi chaguzi ndogo za marudio.
Hapa kuna somo, CHADEMA walisusia chaguzi zote! ACT Wazalendo wakashiriki na zote walipigwa vibaya sana, si kwa sanduku la kura bali wizi usio na shaka. Leo ACT wanasema watalinda kura. Kanuni walizosaini zinasema baada ya kura unakwenda nyumbani, watalinda kura kwa njia gani? Hivi wana bunduki za kuwazuia polisi! Akina Madeleka na Zitto wanafikiria nini!
''Borrow the leaf''
 
Voice gani from within? Ni fact tu, hakuna chama imara cha upinzani Tanzania chenye hata kuikaribia CCM. Upinzani wakae wajitafakari ni wapi wanakwama, period!
 
Kupotezeana muda tu, mimi hata CDM wasingekuja na No Reforms nisingekuwa na muda ya kupoteza kupanga foleni for nothing.

kupiga kura isiyo na thamani ni ujinga.
Kuna sababu nyingi
1. Tume si huru! Hata Kariakoo Derby imetufundisha. Referee walitoka Misri ili kuwa na ''fair play''
2. Kura zinajazwa kwenye maboksi kutoka nje, thamani ya ile ya kwako ipo wapi?
3. Kura zinapigwa mtaa A na kubebwa kuhesabiwa kusikojulikana. kwanini si kituo A
4. Ukipiga kura unakwenda nyumbani! kuna kitu gani wanaficha ?
5. Mgombea kaenguliwa! unampigia nani kura na thamani ya chaguo lako ipo wapi!!
 
Afrobaremeter imeshasema mgombea wetu anakubalika na atashinda uchaguzi kwa 82%, wameanza yale ya akina Januari na Nape kuwa Magufuli atashinda kwa asilimia 84 na kweli akashinda kwa kura fake kwa asilimia 82.
Ujinga ujinga Ujinga umeanza
Rais Samia ndio anaongoza kwa "kublock" accounts kwenye mtandao wa X na kuhide maoni akifuatiwa na William Ruto.

Kipimo cha kukubalika hapo unakionaje?

Wakazi waishio Tanzania hawawezi kutumia mtandao wa X bila VPN , tulitarajia mtandao huo ambao duniani kote ndio "hub of intellectual talks" uwe wazi watu watoe maoni yao ila wamepigwa kizingiti hadi VPN.

Umewahi ona wapi kiongozi anayekubalika anafanya censorship mitandaoni?

Wote wanaompinga wanapewa kesi za kubumba, wanatekwa wengine na kuwawa.
 
Ccm hafikishi hata 8M wanachama
 
Kiukweli ni ujinga na mawazo ya kijinga kususia uchaguzi. Kuna vitu vinahitaji tuu uelimishaji.

Balot papers zinakuwa printed kwa idadi ya registed voters. Rigging inafanyika kwa ku register idadi kubwa ya wapiga kura, kisha hizo kura zinapigwa.

Kama all the eligible, voters watajiandikisha, na watajitokeza kupiga kura, there will be no rpom for rigging! Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?. na Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako

Hawa jamaa zangu nimewashauri Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
P
 
Naona umejificha kwenye maelezo.....Hahaha
 
Na mkurugenzi mstaafu wa NEC 2020 Bw Wilson Mahera ni mgombea wa CCM. Kwamba alikuwa mkurugenzi akiwa na kadi ya Chama mfukoni, halafu watu watarajie miujiza
Huu ni mwendelezo wa vitimbi baada ya kile cha Jecha (Rip) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa ZEC aliyechukua fomu ya Ccm akiomba wampitishe kugombea uraisi huko visiwani.

Kiufupi hii nchi ina vituko kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…