secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
"Voices from within" tangu alipoanza kunyoa kama Kim Jong Un mimi namwona kama mchekeshaji wa bongo muvi.Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Nimejificha vipi wakati ni wajinga wasiopiga kura ndio wanatoa room na fursa ya rigging kwa kupigiwa kura zao!.Naona umejificha kwenye maelezo.....Hahaha
OkayNimejificha vipi wakati ni wajinga wasiopiga kura ndio wanatoa room na fursa ya rigging kwa kupigiwa kura zao!.
P
Mimi pia nilikuwaga MC, mchekeshaji na comedian!."Voices from within" mimi namwona kama mchekeshaji wa bongo muvi.
🤔🤔🤔Nimejificha vipi wakati ni wajinga wasiopiga kura ndio wanatoa room na fursa ya rigging kwa kupigiwa kura zao!.
P
Na haitakaa ifikishe.Ccm hafikishi hata 8M wanachama
Hongera sana mkuu.Mimi pia nilikuwaga MC, mchekeshaji na comedian!.
P
MC inawezekana, ila uchekeshaji haupo kwenye haiba yako.Mimi pia nilikuwaga MC, mchekeshaji na comedian!.
P
Hao ndio wateja nguli wa vichwa vya kuku miguu na utumbo.Kula mwenyewe ushibe! Una njaa halafu unataka kujifanya una hela!
We vipi wewe?
Comedians wanakwenda na taste tofauti tofauti, naweza kufanya kichekesho fulani, wengine wakacheka, kwa wengine ikawa distastaful .MC inawezekana, ila uchekeshaji haupo kwenye haiba yako.
Hakuna wajinga wa kudumu Bro. Kwa taarifa yanaweza kutangazwa matokeo yasiyoendana na uhalisia kabisa. Kwa macho yangu nilishuhudia kituo kimoja uchaguzi wa 2020 ikisainiwa kwa vitisho karatasi ya matokea isiyohusiana kabisa na mabox ya kura yaliyokuwa kwenye chumba cha kupigia kura, na mawakala wa upinzani wakaambiwa ole wao wagome kusaini, au wakaseme walichokiona, maana watapotezwa, na hakuna kitakachotokea.Kiukweli ni ujinga na mawazo ya kijinga kususia uchaguzi. Kuna vitu vinahitaji tuu uelimishaji.
Balot papers zinakuwa printed kwa idadi ya registed voters. Rigging inafanyika kwa ku register idadi kubwa ya wapiga kura, kisha hizo kura zinapigwa.
Kama all the eligible, voters watajiandikisha, na watajitokeza kupiga kura, there will be no rpom for rigging! Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?. na Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako
Hawa jamaa zangu nimewashauri Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
P
Na ndio maana kupunguza hili tunasisitiza Reforms before ElectionUchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Ili rigging itokee, lazima kuwepo na ballot papers ambazo wapiga kura hawakujitokeza, wanapigiwa kura zao!, kama all the eligible voters watajitokeza na kupiga kura, there will be no room to rig!.Hakuna wajinga wa kudumu Bro. ww ni mpiga porojo kama wapigaji wengine.
No mimi sii miongoni mwa manabii Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa! ila mimi ni mtazamaji mzuri, yaani, good observer mwenye a third eye, msikilizaji mzuri anayesikia.the voices from within na ni muongeaji mzuri mwenye kauli umba!. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? ShuhudiaIs Pascal Mayalla among the prophets?
Ni babu jinga flani hivi linalopenda kusifiwa kwa utabiri wa mambo yaliyo dhahiri!Is Pascal Mayalla among the prophets?
Nani anajali hilo, unadhani kuna anayejali hayo mambo ya idadi kwa sasa? Tungekuwa na mahakama huru wangalau ungekuwa na hoja. Kwa mahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka mitatu bila hukumu, wakati ya urais hapo Kenya haikuchukua hata miezi mitatu na hukumu tayari, ndio utapeleka malalamiko ya uchaguzi upate haki?Ili rigging itokee, lazima kuwepo na ballot papers ambazo wapiga kura hawakujitokeza, wanapigiwa kura zao!, kama all the eligible voters watajitokeza na kupiga kura, there will be no room to rig!.
Hata hivyo naheshimu mawazo yako na maoni yako!.
P