Mkuu unazuiaje kuenguliwa mgombea. Nani wakala wa ''giza''Nimejificha vipi wakati ni wajinga wasiopiga kura ndio wanatoa room na fursa ya rigging kwa kupigiwa kura zao!.
P
Namshangaa sana P, ni kama hajaishi Tanzania. CCM ni wazuri wa ''design'' za uchaguzi si maendeleo.Nani anajali hilo, unadhani kuna anayejali hayo mambo ya idadi kwa sasa? Tungekuwa na mahakama huru wangalau ungekuwa na hoja. Kwa mahakama hizi zilizokaa na kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka mitatu bila hukumu, wakati ya urais hapo Kenya haikuchukua hata miezi mitatu na hukumu tayari, ndio utapeleka malalamiko ya uchaguzi upate haki?
Jamaa hana hoja yenye mantiki!Mkuu unazuiaje kuenguliwa mgombea. Nani wakala wa ''giza''
Unazuaiaje Polisi anayekuja kujaza kura feki. Kwanini kura zisihesabiwe vituoni.
rigging ya Tanzania siyo ''isolated incident, but criminal syndicate''
Kura ya Mwananchi haina thamani, hata CCM walithibitisha kwa kusema '' yale ya 2020 hayatajirudia'
Bro, mimi binafsi nina kumis sana kule kwenye kipindi chako cha enzi zile za miaka ya 90 kile cha KITIMOTO. Nina hakika hata ile nyama yetu pendwa ya mkuu wa meza, ilitokana na kipindi chako ambacho ulikua ukikirusha lice kupitia kwenye one of the biggest hotels in Dar. Kwenye maandishi huku kaka sio wito wako, sawa sawa na Kubenea; Kubenea akiandika jambo yaani unaona kabisa, yes, hapa kuna mwandishi wa habari za kiuchunguzi, lakini same Kubenea akiruhusu kinywa chake kiseme kitu hasa za siasa kule bungeni, unaona kama una kina Kubenea 2 tofauti, yule mwandishi na Kubenea msemaji. 😢 😭No mimi sii miongoni mwa manabii Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa! ila mimi ni mtazamaji mzuri, yaani, good observer mwenye a third eye, msikilizaji mzuri anayesikia.the voices from within na ni muongeaji mzuri mwenye kauli umba!. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
P
Bro tunao kufahamu kitambo tuna uhakika haya maandishi umeyaandika tu ili kujilinda na mambo fulani fulani, lakini UBONGO wako unayakana kabisa haya maandishi. Kwa ufupi umeandika usicho kiaminiKiukweli ni ujinga na mawazo ya kijinga kususia uchaguzi. Kuna vitu vinahitaji tuu uelimishaji.
Balot papers zinakuwa printed kwa idadi ya registed voters. Rigging inafanyika kwa ku register idadi kubwa ya wapiga kura, kisha hizo kura zinapigwa.
Kama all the eligible, voters watajiandikisha, na watajitokeza kupiga kura, there will be no rpom for rigging! Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?. na Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako
Hawa jamaa zangu nimewashauri Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
P
Mkuu Makwi, Makwizi Band kwanza asante sana, usemayo ni kweli, kipaji changu ni kwenye broadcast journalism and talk show host.Bro, mimi binafsi nina kumis sana kule kwenye kipindi chako cha enzi zile za miaka ya 90 kile cha KITIMOTO.
Kwenye maandishi huku kaka sio wito wako, sawa sawa na Kubenea; Kubenea akiandika jambo yaani unaona kabisa, yes, hapa kuna mwandishi wa habari za kiuchunguzi, lakini same Kubenea akiruhusu kinywa chake kiseme kitu hasa za siasa kule bungeni, unaona kama una kina Kubenea 2 tofauti, yule mwandishi na Kubenea msemaji. 😢 😭
Tutakupa credit.Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Uko sahihiMoja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Uko sahihi tenaNa kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
KabisaHao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki. Kukaa nyumbani should not be an option. Uwepo wao kwenye polling station kutafanya malalamiko yao kuwa valid kama watadhulumiwa.Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Hiyo ni haki yao kama kweli itakuwa hivyo. Utabiri wangu ni kuwa uchaguzi huu utakuwa wa haki na uwazi kuliko chaguzi zilizopita kwa sababu mpinzani anayeogopwa hatakuweko ndani ya ring. Ni wakati muafaka kwa wenye mamlaka kuonyesha kuwa wanakubalika. Wapinzani watakao shiriki watashinda ( sio kwa kupewa) viti vya kutosha kulipa Bunge uhalali. Wakiresort kwenye mambo ya 2019, 2020 na 2024 watakuwa wamepoteza nafasi adimu sana.Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Kuna tija sana maana kutathibitisha kuwa chui hana mpango wa kubadilisha madoa yake. Na chui atajua kuwa hata afanye nini hawakati tamaa.Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
Utatusikia tu.I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nakubaliana na wewe. Tena kwa kishindo maana hamna Presidential candidate atakayeweza kumsumbua. Lissu angeweza lakini amejipiga mwenyewe risasi ya mguu. Chaumma na ACT-WAZALENDO wataconcentrate kwenye ubunge, udiwani na kupata kura za kutosha ili wapate ruzuku itakayo wasaidia kujitayarisha kwa kinyang'anyiro cha 2030 ambacho hakitakuwa na incumbent.Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
Uwezo wa mtu kusoma maandishi na kubaini mwandishi ameandika asichoamini ni ameandika tuu furahisha genge, ni kipaji kinaitwa graphology.Bro tunao kufahamu kitambo tuna uhakika haya maandishi umeyaandika tu ili kujilinda na mambo fulani fulani, lakini UBONGO wako unayakana kabisa haya maandishi. Kwa ufupi umeandika usicho kiamini
Mimi sio mwana chama wa chama chochote cha siasa, lakini siwalaumu Chadema kwa msimamo wao na nina mashaka na wanaowapinga Chadema. Matamshi ya wana ccm hayaoneshi kama KURA ni kitu cha maana, alisema Nape, alisema yule jamaa aliyekua DC wa kule Arusha, mama Makinda karudia juzi tu hapo, hilo ni kwa uchache; mazingira hayajabadirika hata kidogo, sheria zetu za uchaguzi ni zile zile; ni kweli Chadema ya Lissu na Heche imepolelewa vizuri na wananchi wanaweza kuwapigia KURA; now kufuatia mayamshi ya hao watu hapo ju, unawathibitishia vipi kwamba KURA zao zitaheshimiwa? Unahitaji kua na ka uwendawazimu kidogo kuamini eti HAKI inaweza kutendeka. Kama mahakamani tu danadana zinachezwa vile kwa jambo lililo wazi kabisa, case study case ya Lissu ya sasa, ile ya Mbowe na ubunge wa kina Halima Mdee, kwa tukio la siku 1 linaweza kuleta matokeo tofauti? Only stupid people will believe thatUwezo wa mtu kusoma maandishi na kubaini mwandishi ameandika asichoamini ni ameandika tuu furahisha genge, ni kipaji kinaitwa graphology.
Kipaji hicho sio tuu kwenye maandishi, bali hata kwa kumsikiliza mtu, akiongea, unajua kama anaongea ukweli au anadanganya.
Kiukweli kabisa, uchaguzi wa 2025 ni bonge la fursa kwa Chadema hata bila ya mabadiliko yoyote!
P
Naheshimu mawazo yako, ila nimeushuhudia uchaguzi wa kwanza wa Marekani, mwanamke kugombea, Trump ni kichaa fulani, na amegombea na mwanamke, Wamarekani wakaamua kuliko kumchagua mwanamke, bora wamchague kichaa!.Mimi siwalaumu Chadema kwa msimamo wao na nina mashaka na wanaowapinga Chadema. Matamshi ya wana ccm hayaoneshi kama KURA ni kitu cha maana, unawathibitishia vipi kwamba KURA zao zitaheshimiwa? Unahitaji kua na ka uwendawazimu kidogo kuamini eti HAKI inaweza kutendeka.
Only stupid people will believe that
Ngoja nikuulize swali la kinadharia tu…Tutakupa credit.
Uko sahihi
Uko sahihi tena
Kabisa
1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.
2.Siku zinavyoenda itabidi wa resort kwenye measures ambazo ni za ajabu ambazo zitazidi kuthibitisha kuwa hawako serious.
3. Ni ku call their bluff. Na kuwaonyesha kuwa haijalishi unavyoonewa utaendelea kupambana.
Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.
Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki. Kukaa nyumbani should not be an option. Uwepo wao kwenye polling station kutafanya malalamiko yao kuwa valid kama watadhulumiwa.
Hiyo ni haki yao kama kweli itakuwa hivyo. Utabiri wangu ni kuwa uchaguzi huu utakuwa wa haki na uwazi kuliko chaguzi zilizopita kwa sababu mpinzani anayeogopwa hatakuweko ndani ya ring. Ni wakati muafaka kwa wenye mamlaka kuonyesha kuwa wanakubalika. Wapinzani watakao shiriki watashinda ( sio kwa kupewa) viti vya kutosha kulipa Bunge uhalali. Wakiresort kwenye mambo ya 2019, 2020 na 2024 watakuwa wamepoteza nafasi adimu sana.
Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.
Kuna tija sana maana kutathibitisha kuwa chui hana mpango wa kubadilisha madoa yake. Na chui atajua kuwa hata afanye nini hawakati tamaa.
Utatusikia tu.
Nakubaliana na wewe. Tena kwa kishindo maana hamna Presidential candidate atakayeweza kumsumbua. Lissu angeweza lakini amejipiga mwenyewe risasi ya mguu. Chaumma na ACT-WAZALENDO wataconcentrate kwenye ubunge, udiwani na kupata kura za kutosha ili wapate ruzuku itakayo wasaidia kujitayarisha kwa kinyang'anyiro cha 2030 ambacho hakitakuwa na incumbent.
Chadema have been played. Na sijui watakubali kula matapishi yao au watasusia tena maana hamna significant reforms zitafanyika kabla ya 2030.
Amandla...
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
2024 Democrats walifanya figisu gani ili wasishindwe na Republicans?Karibu vyama vyote vilivyo madarakani huwa vinafanya figisu figisu ili wasishindwe kwenye uchaguzi. Marekani mipaka ya majimbo inawekwa kiaina ili ku minimise representatives ambao chama pinzani kinaweza kupata hata wakishinda kura nyingi kuliko wenzao. Sheria na taratibu za uchaguzi zinapindishwa na kuwekwa ili wafuasi wa vyama vya upinzani washindwe au waogope kupiga kura. Yote haya yanafanyika lakini husikii chama kina susia uchaguzi. Wako wananchi wengi hawapigi kura kwa sababu wanaona uchaguzi hauna maana lakini uchaguzi unafanyika na mshindi anatangazwa.
Amandla...
Halafu Fundi, unasema washiriki uchaguzi ili waweze kukusanya ushahidi wa kile wanachodai kuwa ni figisu.Tutakupa credit.
Uko sahihi
Uko sahihi tena
Kabisa
1. Kushiriki kunakupa platform ya kuonyesha na kukusanya ushahidi wa malfeasance itakayoendelea.
2.Siku zinavyoenda itabidi wa resort kwenye measures ambazo ni za ajabu ambazo zitazidi kuthibitisha kuwa hawako serious.
3. Ni ku call their bluff. Na kuwaonyesha kuwa haijalishi unavyoonewa utaendelea kupambana.
Tija ni kuthibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kutenda haki. Ni yale yaliyotokea 2020 ndio yanawapa nguvu watu kusema kuwa Reforms ni lazima. Vyama vya upinzani visingeshiriki pasingekuwa na ushahidi wa hujuma zinazo fanyika.
Ni kukataa kuwa intimidated. Wakina Mandela, King, Gandhi n.k. walikataa kuwa intimidated na wenye nguvu na waliwaonyesha kuwa wako tayari ku pay whatever price ili watu wao watendewe haki. Kukaa nyumbani should not be an option. Uwepo wao kwenye polling station kutafanya malalamiko yao kuwa valid kama watadhulumiwa.
Hiyo ni haki yao kama kweli itakuwa hivyo. Utabiri wangu ni kuwa uchaguzi huu utakuwa wa haki na uwazi kuliko chaguzi zilizopita kwa sababu mpinzani anayeogopwa hatakuweko ndani ya ring. Ni wakati muafaka kwa wenye mamlaka kuonyesha kuwa wanakubalika. Wapinzani watakao shiriki watashinda ( sio kwa kupewa) viti vya kutosha kulipa Bunge uhalali. Wakiresort kwenye mambo ya 2019, 2020 na 2024 watakuwa wamepoteza nafasi adimu sana.
Ni haki yao kufanya hivyo kwa sababu watakuwa na ushahidi. Wale watakao susia hawatakuwa na haki ya kulalamika maana hawatakuwa na ushahidi wa dhulma yeyote.
Kuna tija sana maana kutathibitisha kuwa chui hana mpango wa kubadilisha madoa yake. Na chui atajua kuwa hata afanye nini hawakati tamaa.
Utatusikia tu.
Nakubaliana na wewe. Tena kwa kishindo maana hamna Presidential candidate atakayeweza kumsumbua. Lissu angeweza lakini amejipiga mwenyewe risasi ya mguu. Chaumma na ACT-WAZALENDO wataconcentrate kwenye ubunge, udiwani na kupata kura za kutosha ili wapate ruzuku itakayo wasaidia kujitayarisha kwa kinyang'anyiro cha 2030 ambacho hakitakuwa na incumbent.
Chadema have been played. Na sijui watakubali kula matapishi yao au watasusia tena maana hamna significant reforms zitafanyika kabla ya 2030.
Amandla...
TIJA IPO, msikilize kigegeu kwa tafiti zake, CCM ni mshindi wa kweli kwa ballot boxUchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu anasema “voices from within” zinamwambia kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi ujao.
Na kweli, baada ya uchaguzi Samia anatangazwa kuwa mshindi halafu wanaibuka wapumbavu na kuanza kumsifia huyo aliyedai “voices from within” zilimwambia kuwa Samia atashinda!
Hao ndo Watanzania bana. Na hizo ndo akili zao.
Nikitabiri kuwa mwaka kesho, 2026, mvua zitanyesha kwenye sehemu mbalimbali nchini, na ikatokea zikanyesha kweli, kuna mazuzu wataniona mimi ni genius 🤣.
Predicting the obvious is not genius.
Sasa basi, kwa sababu wote tulio na akili timamu na tulio wahalisia wa mambo tunajua kwamba Rais Samia na CCM watashinda kwa kiwango kikubwa sana, binafsi nina swali:
Kuna tija gani katika kushiriki uchaguzi ambao matokeo yake yanajulikana?
Kuna tija gani kushiriki kwenye uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ambayo imeundwa na mmoja wa wagombeaji urais?
Kwa nini watu washiriki uchaguzi ambao hawana nafasi yoyote ile ya wao kuweza kushinda?
Ngoja nifanye utabiri mwingine. Itakuwa hivi:
Kwa wale wataoshiriki kwenye huo uchaguzi, Rais Samia akishatangazwa kuwa mshindi, watalalamika kuwa wameibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa wa huru wala haki.
Uchaguzi kutokuwa wa huru wala haki ni jambo ambalo wanalifahamu fika kabisa kabla hata uchaguzi haujafanyika.
Licha ya kufahamu yote hayo, bado wapo watu ambao watashiriki huo uchaguzi na baadaye wataanza kulalamika.
Sasa kuna tija gani ya kushiriki uchaguzi kwenye mazingira yaliyopo halafu baadaye unaanza kulialia kuwa umeibiwa kura?
I don’t want to hear any of you crying about the unfairness of the election after it’s over.
Nani anabisha kuwa Rais Samia atashinda?
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 bro, yaani unalinganisha Marekani na hapa kweli? Kule CIA wanaweza kumvimbia rais na hana kitu anaweza kuwafanya. Spika wa bunge la kule anaweza kuichana hotuba ya rais tena mbele yake na rais hana kitu anaweza kumfanya (rudisha kumbukumbu zako nyuma, mama Peros aliwahi kuchana hotuba ya Trump na Trump akiwa rais, still the same Trump alimpa mama Peros escort ya ndege za kivita akiwa na ziara kwenye visiwa vya Hong Kong na Taiwan)Naheshimu mawazo yako, ila nimeushuhudia uchaguzi wa kwanza wa Marekani, mwanamke kugombea, Trump ni kichaa fulani, na amegombea na mwanamke, Wamarekani wakaamua kuliko kumchagua mwanamke, bora wamchague kichaa!.
Fursa kama hii Lissu anayo!. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
Na hapa Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
P