Kuna Timu inapanga kucheza Mechi 2 au 3 za Kirafiki ili Kutuliza Mashabiki wake na Tano Tano za Wanaojua Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.

Na Mashabiki wa hiyo Timu tulivyo Wapumbavu ( Mapopoma ) tukishinda Goli Sita Sita katika hizo Mechi zetu za Kirafiki tutaanza Kutamba na Kuringa kuwa tuko vizuri kuliko Wao ( Wazee wa Hamsa Hamsa katika Ligi Kuu ya NBC kwa sasa ) na Ligi ikirejea tunarejea katika ule ule Utamaduni wetu Tukuka wa Goli Kiduchu, Mpira Mbovu na Mashabiki kuwa na Sura za Usununu ( Kununa ) tu.

Umeona wapi Pre Season Wachezaji wanaenda Kimafungu Mafungu kama Ndizi za Mgeta Morogoro huku Kocha akisafiri kwenda Kwao halafu Chief of Scout wa Timu ameteuliwa kwa Sifa Kuu ya kuwa Mhudhuriaji wa Mechi za hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa?

Tukiitwa Wapumbavu tunakasirika!!!
 
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.

Thank U Moron for U'r Stupidity Thread!
 
Hiyo timu inayojua mbona ilishachakazwa goli 5 na timu uliyoisahau jina

Mbona pale mkwakwani zilikutana na hizo goli tano haikutokea hata moja?
 
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.

Na Mashabiki wa hiyo Timu tulivyo Wapumbavu ( Mapopoma ) tukishinda Goli Sita Sita katika hizo Mechi zetu za Kirafiki tutaanza Kutamba na Kuringa kuwa tuko vizuri kuliko Wao ( Wazee wa Hamsa Hamsa katika Ligi Kuu ya NBC kwa sasa ) na Ligi ikirejea tunarejea katika ule ule Utamaduni wetu Tukuka wa Goli Kiduchu, Mpira Mbovu na Mashabiki kuwa na Sura za Usununu ( Kununa ) tu.

Umeona wapi Pre Season Wachezaji wanaenda Kimafungu Mafungu kama Ndizi za Mgeta Morogoro huku Kocha akisafiri kwenda Kwao halafu Chief of Scout wa Timu ameteuliwa kwa Sifa Kuu ya kuwa Mhudhuriaji wa Mechi za hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa?

Tukiitwa Wapumbavu tunakasirika!!!
Yaani leo, na utasema tu..!!
 
Aisee kaka mudi b3 Bora angeonga aonekane bonge la bwana kuliko kutupa kwenye hili timu
 
Attachments

  • 20230713_002939.jpg
    20230713_002939.jpg
    38.6 KB · Views: 5
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.

Na Mashabiki wa hiyo Timu tulivyo Wapumbavu ( Mapopoma ) tukishinda Goli Sita Sita katika hizo Mechi zetu za Kirafiki tutaanza Kutamba na Kuringa kuwa tuko vizuri kuliko Wao ( Wazee wa Hamsa Hamsa katika Ligi Kuu ya NBC kwa sasa ) na Ligi ikirejea tunarejea katika ule ule Utamaduni wetu Tukuka wa Goli Kiduchu, Mpira Mbovu na Mashabiki kuwa na Sura za Usununu ( Kununa ) tu.

Umeona wapi Pre Season Wachezaji wanaenda Kimafungu Mafungu kama Ndizi za Mgeta Morogoro huku Kocha akisafiri kwenda Kwao halafu Chief of Scout wa Timu ameteuliwa kwa Sifa Kuu ya kuwa Mhudhuriaji wa Mechi za hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa?

Tukiitwa Wapumbavu tunakasirika!!!
Rage tumjengee wapi mnara mkuu
 
Ikiwa Yanga atarudia tena kwa timu nyingine kama alichofanya jana basi kibarua cha kocha wa timu uliyoisahau jina kipo hatarini na hata benchi zima la ufundi linaweza kufumuliwa kwa mtindo wa
Orthodox attacking.

Na hapo tajiri asiye na kifua cha uvumilivu na mfadhili wa hiyo timu ataingia kwenye ukurasa wake wa X na kuandika hisia zake.
 
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.

Na Mashabiki wa hiyo Timu tulivyo Wapumbavu ( Mapopoma ) tukishinda Goli Sita Sita katika hizo Mechi zetu za Kirafiki tutaanza Kutamba na Kuringa kuwa tuko vizuri kuliko Wao ( Wazee wa Hamsa Hamsa katika Ligi Kuu ya NBC kwa sasa ) na Ligi ikirejea tunarejea katika ule ule Utamaduni wetu Tukuka wa Goli Kiduchu, Mpira Mbovu na Mashabiki kuwa na Sura za Usununu ( Kununa ) tu.

Umeona wapi Pre Season Wachezaji wanaenda Kimafungu Mafungu kama Ndizi za Mgeta Morogoro huku Kocha akisafiri kwenda Kwao halafu Chief of Scout wa Timu ameteuliwa kwa Sifa Kuu ya kuwa Mhudhuriaji wa Mechi za hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa?

Tukiitwa Wapumbavu tunakasirika!!!
Jamani eeeeeh Gentamycine leo kachafukwa nafsi
 
timu zote afrika mashariki na kati zinajifunza kwa SIMBA na wanajiuliza imekuwaje ni ya 7 africa na haijaanzia hatua za awali caf. Simba ni level ya wakubwa sana ambapo hata hao utopolo wanajiuliza na wanajifunza na kupita njia za kaka yao. Simba ni kubwa.
 
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.

Na Mashabiki wa hiyo Timu tulivyo Wapumbavu ( Mapopoma ) tukishinda Goli Sita Sita katika hizo Mechi zetu za Kirafiki tutaanza Kutamba na Kuringa kuwa tuko vizuri kuliko Wao ( Wazee wa Hamsa Hamsa katika Ligi Kuu ya NBC kwa sasa ) na Ligi ikirejea tunarejea katika ule ule Utamaduni wetu Tukuka wa Goli Kiduchu, Mpira Mbovu na Mashabiki kuwa na Sura za Usununu ( Kununa ) tu.

Umeona wapi Pre Season Wachezaji wanaenda Kimafungu Mafungu kama Ndizi za Mgeta Morogoro huku Kocha akisafiri kwenda Kwao halafu Chief of Scout wa Timu ameteuliwa kwa Sifa Kuu ya kuwa Mhudhuriaji wa Mechi za hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa?

Tukiitwa Wapumbavu tunakasirika!!!
Mkiingia kwenye 18 zetu nyie timu mliojisahau jina tunawapa 7G.Itawatosha😂😂😂🏃🏃
 
Back
Top Bottom