GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE nina Ombi langu Moja tu kwa hiyo Timu (niliyoisahau Jina kwa sasa) kuwa naomba katika hizo Timu wanazotaka Kuziomba Kucheza nazo Mechi za Kirafiki Kipindi hiki Ligi Kuu ya NBC inasimama Yanga SC nayo iwemo ili nao Wafungwe Hamsa Hamsa ( Tano Tano ) na waanze Kuzizoea kabla ya kukutana nao katika Ligi October au November Mkapa Stadium ili Wakipigwa ( Wakifungwa ) nao Goli 8 au 10 wasije Kushangaa sana.
Na Mashabiki wa hiyo Timu tulivyo Wapumbavu ( Mapopoma ) tukishinda Goli Sita Sita katika hizo Mechi zetu za Kirafiki tutaanza Kutamba na Kuringa kuwa tuko vizuri kuliko Wao ( Wazee wa Hamsa Hamsa katika Ligi Kuu ya NBC kwa sasa ) na Ligi ikirejea tunarejea katika ule ule Utamaduni wetu Tukuka wa Goli Kiduchu, Mpira Mbovu na Mashabiki kuwa na Sura za Usununu ( Kununa ) tu.
Umeona wapi Pre Season Wachezaji wanaenda Kimafungu Mafungu kama Ndizi za Mgeta Morogoro huku Kocha akisafiri kwenda Kwao halafu Chief of Scout wa Timu ameteuliwa kwa Sifa Kuu ya kuwa Mhudhuriaji wa Mechi za hiyo Timu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) Uwanja wa Benjamin Mkapa?
Tukiitwa Wapumbavu tunakasirika!!!