Kuna Timu Kubwa imeshinda Leo ila imecheza Mpira mbovu kiasi kwamba huko mbeleni ikikutana na Wanamume itafungwa 5 au 7

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
 
Bro ule ugonjwa wako umefika hatua mbaya sana,nenda hospital haraka.
 
Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Una dhihirisha jinsi gani unavyotanga tanga kutafuta kupunguza mateso ya moyo. Ulileta uzi humu kuwa ndio timu bora, ukaisifu na kuipamba, halafu baadae ukaja na ngonjera za Nabi kutokuwa na vigezo vya kukaa benchi kwenye mechi CAF ukaumbuka. Saivi umekuja na uzi mwingine umegeuka shekh Yahya. Unateseka sana aisee pole sana. Ila tu ujifunze kuwa mvumilivu na muda
 
Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Halafu ukiitwa Popoma, unakasirika! Na wakati ndiyo ukweli wenyewe.
 
Huyu jamaa furaha yake kuikandia simba ipoteze ili apate sababu ya kuthibitisha nyuzi zake alizoanzisha kuhusu simba kwamba ni mbovu na anaijua kuliko watu wote waliopata kuifaham timu! Apuuzwe.
Kuna timu zingine zinapiga mipira mizuri kuliko hata Simba na Yanga, bahati mbaya asilimia kubwa wa mashabiki wanafuata upepo wa wachambuzi ndo maana unakuta hizo timu hazipewi promo.

Mimi siamini Simba na Yanga ndo zinacheza vzr sana kuliko timu zote hapa Tanzania, sidhani
 
Thawa.
 
Sasa mbona Utopolo wamecharuka kumbe mchezaji anaekimbia mbio za mwenge yupo humo kwao?..... huyo ni mgeni wenu anahitaji suport yenu
 
Kuna timu zingine zinapiga mipira mizuri kuliko hata Simba na Yanga, bahati mbaya asilimia kubwa wa mashabiki wanafuata upepo wa wachambuzi ndo maana unakuta hizo timu hazipewi promo.

Mimi siamini Simba na Yanga ndo zinacheza vzr sana kuliko timu zote hapa Tanzania, sidhani
Kipimo ni ligi ya NBC mkuu au una njia nyingine ya kuzitathmini club zetu?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom