Kuna Timu Kubwa imeshinda Leo ila imecheza Mpira mbovu kiasi kwamba huko mbeleni ikikutana na Wanamume itafungwa 5 au 7

Kuna Timu Kubwa imeshinda Leo ila imecheza Mpira mbovu kiasi kwamba huko mbeleni ikikutana na Wanamume itafungwa 5 au 7

Una dhihirisha jinsi gani unavyotanga tanga kutafuta kupunguza mateso ya moyo. Ulileta uzi humu kuwa ndio timu bora, ukaisifu na kuipamba, halafu baadae ukaja na ngonjera za Nabi kutokuwa na vigezo vya kukaa benchi kwenye mechi CAF ukaumbuka. Saivi umekuja na uzi mwingine umegeuka shekh Yahya. Unateseka sana aisee pole sana. Ila tu ujifunze kuwa mvumilivu na muda
Hii ndo tatizo la kuandika/ kuzungumza kila anachoona/ kusikia. Ni rahisi sana kumjua mtu mpumbavu kupitia kuongea, ila ni vigumu kumjua mtu mpumbvu akikaa kimya.

Asikupe shida mkuu, kwa siku anaweza anzisha nyuzi zaidi ya 4.
 
Utopolo nayo ni timu kubwa? Hata kwenye timu 70 bora Africa haipo
 
Back
Top Bottom