MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ni Wafula Chebukati Football Club.Timu gan mkuu Big Bullets au Zolan?
Mmh hivi ni Chabukati au Chibukati?Ni Wafula Chebukati Football Club.
Sewahaji na Kibasila zote ni Muhimbil tu.Mmh hivi ni Chabukati au Chibukati?
Mmh hapo umehamisha faili mkuu hio sio folder yake mpira siasa sasa umehamia hospital kichwani zinachaji kweli au dish limeyumbaSewahaji na Kibasila zote ni Muhimbil tu.
Una dhihirisha jinsi gani unavyotanga tanga kutafuta kupunguza mateso ya moyo. Ulileta uzi humu kuwa ndio timu bora, ukaisifu na kuipamba, halafu baadae ukaja na ngonjera za Nabi kutokuwa na vigezo vya kukaa benchi kwenye mechi CAF ukaumbuka. Saivi umekuja na uzi mwingine umegeuka shekh Yahya. Unateseka sana aisee pole sana. Ila tu ujifunze kuwa mvumilivu na mudaMabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Halafu ukiitwa Popoma, unakasirika! Na wakati ndiyo ukweli wenyewe.Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Kwani hapo si anaisema Simba SC kwa yale yanayoendelea klabuni hivyo akaamua kuishabikia YangaHalafu ukiitwa Popoma, unakasirika! Na wakati ndiyo ukweli wenyewe.
Huyo ameshahamia Utopolo,mvumilieni tu mwanenu huyo, mbona akiikandia Simba mnamshangilia?Halafu ukiitwa Popoma, unakasirika! Na wakati ndiyo ukweli wenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mmh hapo umehamisha faili mkuu hio sio folder yake mpira siasa sasa umehamia hospital kichwani zinachaji kweli au dish limeyumba
Bakini na mtu wenu huko huko sisi hatumtaki.Kwani hapo si anaisema Simba SC kwa yale yanayoendelea klabuni hivyo akaamua kuishabikia Yanga
Sasa mbona wanaYanga hamutaki kwa hilo..?!
Kuna timu zingine zinapiga mipira mizuri kuliko hata Simba na Yanga, bahati mbaya asilimia kubwa wa mashabiki wanafuata upepo wa wachambuzi ndo maana unakuta hizo timu hazipewi promo.Huyu jamaa furaha yake kuikandia simba ipoteze ili apate sababu ya kuthibitisha nyuzi zake alizoanzisha kuhusu simba kwamba ni mbovu na anaijua kuliko watu wote waliopata kuifaham timu! Apuuzwe.
Thawa.Kuna timu zingine zinapiga mipira mizuri kuliko hata Simba na Yanga, bahati mbaya asilimia kubwa wa mashabiki wanafuata upepo wa wachambuzi ndo maana unakuta hizo timu hazipewi promo.
Mimi siamini Simba na Yanga ndo zinacheza vzr sana kuliko timu zote hapa Tanzania, sidhani
Kipimo ni ligi ya NBC mkuu au una njia nyingine ya kuzitathmini club zetu?Kuna timu zingine zinapiga mipira mizuri kuliko hata Simba na Yanga, bahati mbaya asilimia kubwa wa mashabiki wanafuata upepo wa wachambuzi ndo maana unakuta hizo timu hazipewi promo.
Mimi siamini Simba na Yanga ndo zinacheza vzr sana kuliko timu zote hapa Tanzania, sidhani