Una dhihirisha jinsi gani unavyotanga tanga kutafuta kupunguza mateso ya moyo. Ulileta uzi humu kuwa ndio timu bora, ukaisifu na kuipamba, halafu baadae ukaja na ngonjera za Nabi kutokuwa na vigezo vya kukaa benchi kwenye mechi CAF ukaumbuka. Saivi umekuja na uzi mwingine umegeuka shekh Yahya. Unateseka sana aisee pole sana. Ila tu ujifunze kuwa mvumilivu na muda