Kuna Timu mafanikio yake ya Kipekee CAFCL yatakuwa ni Kufurahia Mechi yao Kuonyesha 'Live' nchini Sudan

Kuna Timu mafanikio yake ya Kipekee CAFCL yatakuwa ni Kufurahia Mechi yao Kuonyesha 'Live' nchini Sudan

Katika football tunajivunia makombe na wala sio pesa bwashee.

National Al Ahly washawahi kusema kua wanatumia hela nyingi kuliko wanayoipata kwenye mashindano ya CAF.

Thamani ya timu inakua valued na 'titles'.
Wewe chawa huwezi kujua umuhimu wa team kuingiza pesa (hasa hizi zetu ambazo hazina vyanzo vingine vya mapato vilivyokomaa), ila sidhani maboss wanaofadhili hiyo team wanaweza kuwa na guts za kuona kama hela si chochote...!
 
Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga?

Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona wawajambisheni (wawatishe) kwanza kuwa mechi yenu haitoonyeshwa ili mjae katika shabaha mlalamike kisha Azam Tv nao wakiomba dili la kuionyesha watoe pesa ndefu kama ambayo wameitoa na sasa mechi yenu kuonyeshwa.

Kwa kifupi hawa Wasudan mnaoenda kucheza nao wamefanikiwa sehemu mbili, ya kwanza ni wao kuwa na uhakika wa kuwafunga kwao lakini pia wameshaingiza pesa ya kutosha kutoka kwa Azam Tv.

Na ni nani aliyewadanganya kuwa Waarabu hata mechi yao ikiwa mubashara (live) huwa hawafanyi fujo na figisu figisu zao?

Fujo mtafanyiwa sana tu kudadadeki zenu, tena za kila aina! Kufungwa mtafungwa tu na hakuna mtu wa CAF atakayewatisha.

Na mkumbuke wakati nyie mkimsifia na kumbabaikia tajiri wenu mjanja mjanja (tapeli tapeli), wao tajiri yao ana fedha ambazo mpaka zingine hajui azipeleke wapi!
Sasa wataonekanaje wakitetema japo sidhani kama kuna huo uwezekano wa mitetemo
 
Back
Top Bottom