othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Nimeota. Yanga 3_ Hilal 2. Tumefuzu
Agosto 4_ Simba 0
Makolo yametolewa.
Save hii mtakuja kunikumbusha.
Agosto 4_ Simba 0
Makolo yametolewa.
Save hii mtakuja kunikumbusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tunakujua huna akili,Mwanamume hanywi Chai bali anakunywa Uji wa Lishe uliojitosheleza kwa kila Kitu ili aendelee kuwa na Akili ( Genius ) kuliko Juha ( Nut ) kama Wewe.
Wewe chawa huwezi kujua umuhimu wa team kuingiza pesa (hasa hizi zetu ambazo hazina vyanzo vingine vya mapato vilivyokomaa), ila sidhani maboss wanaofadhili hiyo team wanaweza kuwa na guts za kuona kama hela si chochote...!Katika football tunajivunia makombe na wala sio pesa bwashee.
National Al Ahly washawahi kusema kua wanatumia hela nyingi kuliko wanayoipata kwenye mashindano ya CAF.
Thamani ya timu inakua valued na 'titles'.
Siioni Simba Sc ya kupigwa 4-0.Nimeota. Yanga 3_ Hilal 2. Tumefuzu
Agosto 4_ Simba 0
Makolo yametolewa.
Save hii mtakuja kunikumbusha.
dah,punguza pressure babuuAkili za Simba na Yanga hizi.
Mpira umebadilisha uwezo wa kufikiri kwa Watanzania.
Sasa wataonekanaje wakitetema japo sidhani kama kuna huo uwezekano wa mitetemoKama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga?
Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona wawajambisheni (wawatishe) kwanza kuwa mechi yenu haitoonyeshwa ili mjae katika shabaha mlalamike kisha Azam Tv nao wakiomba dili la kuionyesha watoe pesa ndefu kama ambayo wameitoa na sasa mechi yenu kuonyeshwa.
Kwa kifupi hawa Wasudan mnaoenda kucheza nao wamefanikiwa sehemu mbili, ya kwanza ni wao kuwa na uhakika wa kuwafunga kwao lakini pia wameshaingiza pesa ya kutosha kutoka kwa Azam Tv.
Na ni nani aliyewadanganya kuwa Waarabu hata mechi yao ikiwa mubashara (live) huwa hawafanyi fujo na figisu figisu zao?
Fujo mtafanyiwa sana tu kudadadeki zenu, tena za kila aina! Kufungwa mtafungwa tu na hakuna mtu wa CAF atakayewatisha.
Na mkumbuke wakati nyie mkimsifia na kumbabaikia tajiri wenu mjanja mjanja (tapeli tapeli), wao tajiri yao ana fedha ambazo mpaka zingine hajui azipeleke wapi!