Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc.
sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira.

Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?

1677116610548.jpeg
 
Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc.
sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira...
Katiba mbovu inayowapa mamlaka ya kutumia pesa za umma watakavyo bila kuwajibishwa ndiyo inawachochea wajichotee nijilimbikizia kwenye akauti zao na ndugu zao. Tuamke tukomeshe huu wizi
 
Pointless
Unaweza dhani mwenzako ni pointless kumbe wewe ndo Lyapukile na Zwazwa kabisa!

Umewahi ona wapi nchi zilizoendelea Rais anagawa fedha uwanjani? Wenzetu pesa ya ziada huelekezwa kwenye kukabiliana na majanga kama mafuriko, njaa, ajali n.k We unawagawia fedha watu ambao mishahara yao ni mamilioni unaacha kuwasaidia wasioweza kupata hata mlo mmoja! Think before acting mkuu.
 
Pointless
Unaweza dhani mwenzako ni pointless kumbe wewe ndo Lyapukile na Zwazwa kabisa!

Umewahi ona wapi nchi zilizoendelea Rais anagawa fedha uwanjani? Wenzetu pesa ya ziada huelekezwa kwenye kukabiliana na majanga km mafuriko,njaa,ajali n.k We unawagawia fedha watu ambao mishahara yao ni mamilioni unaacha kuwasaidia wasioweza kupata hata mlo mmoja! Think before acting mkuu.
 
Katiba mbovu inayowapa mamlaka ya kutumia pesa za umma watakavyo bila kuwajibishwa ndiyo inawachochea wajichotee nijilimbikizia kwenye akauti zao na ndugu zao. Tuamke tukomeshe huu wizi
Sawa anza wewe kuukomesha.
 
Kwa katiba hii mbovu rais ndio mtunza hazina mkuu Ndio maana anauwezo wa kugawa fedha atakavyo bila kuulizwa
 
Hivi rais anapata mshahara au hapati? na kama akigawa hela zake za mshahara uwanjani au barabarani Kuna shida yyte?

Au raisi alipotoa zile hela alisema ametoa kweny fungu la ujenzi wa barabara au shule?

Tatizo watanzania wana wivu na hiyo ni sifa mojawapo ya uchawi, mtu anatoa hela zake unakuja kuumia wewe alichofanya raisi ni sawa na kuwabetia tu Simba na yanga Ili kuleta morali ila anakuja mpuuzi mmja anaumia kama zile hela zake asee n ugonjwa wa akili huu.
 
Back
Top Bottom