Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

Ndiyo, ipo.
Tofauti ya kwanza ni ya kijiografia; Mmoja amegawa mabarabarani huku Mwingine akigawa uwanjani....huo ni utofauti tayari.

Tofauti ya pili; aliyegawa uwanjani amelenga kuleta ari ya kujituma zaidi na hamasa/uhai wa michezo huku fedha lengwa ikisaidia wengi zaidi sababu itagawiwa kwa wachezaji wote (ambao ni wengi na wana familia). On contrary, anayegawa mabarabarani ana lengo la kujinufaisha zaidi yeye kama yeye huku akihamasisha tabia ya kujidogoisha kwa kujiona mnyonge na kuwa omba omba.

Mfanano; wote wana motive ya kisiasa nyuma yake wakikimbizana kuchota umaarufu na akili za watanzania.
 
Kuna uwezekano hizi za kununua magoli wala "Mama" hahusiki nazo,ni kina Msigwa tu wanachota wanakojua wao!
 
Even if you're on retirement still can't understand you.
Motisha kwa waliofanya kazi nzuri na kuliheshimisha Taifa ni vema wale jasho lao
 
Even if you're on retirement still can't understand you.
Motisha kwa waliofanya kazi nzuri na kuliheshimisha Taifa ni vema wale jasho lao
Bladifaken you, not with taxpayers' money! on footbal /mipira hooliganism while essential social needs are starving
 
Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?

Duu safar Bado ni ndefu sanaa...
 
We nenda kaharishe huo uvundo ukirudi utapata akili. Milioni 15 kwa rais wa nchi mwenye mshahara na marupurupu hawezi kutoa hiyo hela mfukoni mwake? Unaokoteza vitu vidogo vidogo visivyo maana. Poyoyo kweli
 
we kahangaikie umaskini wako na wa ukoo wako. Nani kakuambia zile ni pesa za umma? Mnawashwa na nini nyau nyie?
 
We nenda kaharishe huo uvundo ukirudi utapata akili. Milioni 15 kwa rais wa nchi mwenye mshahara na marupurupu hawezi kutoa hiyo hela mfukoni mwake? Unaokoteza vitu vidogo vidogo visivyo maana. Poyoyo kweli
Nitamharishia mama yako! Mama yako hajawahi kuniita poyoyo, ujue unamtukana baba yako mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…