digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Uelewa wako ni mdogo, hii mada haikufai inajiaibisha bure, kuna watu wamepiga form four divion one, theni wakaopt kusoma diploma, mimi hapa nina dv 2 form four na dv 2 form six , niliopt kusoma diploma ya ualimu wakati point zinaniruhusu kwenda university, kwahiyo na mimi ni felia?Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Uongo.Uongo!
Inategemea na aina ya degree, mfano kwenye Engineering, mtu anayetoka diploma alafu akaanze Bachelor of Science in Engineering huezifananisha ubora wake na mtu wa form six, kwa mtu wa diploma suitable degree ni Bachelor of Engineering though kwa mtu wa advance hatopata shida sana kama anakichwa chepesi na alikuwa anaelewa vitu alivyokuwa advance otherwise hatokuwa vizuri sana kama aliyetoka diploma
Bsc na BEng hazifanani mkuu, kwa uzoefu mdgo nlionao naweza sema Bsc ni 40% practical alaf 60% theory kwa BEng hapa Tanzania ni +75% practical alafu less than 25% theory, sitoweka maelezo sana kafatilie mwenyewe utajijibu,Uongo.
Hizo degree mbili ni tofauti lakini siyo kiivo. Hivyo anayetoka diploma bado ana advantage kwasababu vitu vingi vya huko bachelor atakakuwa kashasoma diploma.
Diploma miaka 3 bachelor 4, vingi atavijua tu, alafu mitaala mingi ya diploma huku bongo ni complex sana kuliko huko mbele, nje diploma ni 2 years mara nyingi. Hivyo hili unalosema labda liwe la ukweli ila ni huko nje.
Diploma za huku bongo theory ni nyingi tu mkuu. Hiyo ya kusema diploma ni practical zaidi ni huko nje si huku ndani mkuu, ingawa msingi wake ulitakiwa uwe hivyo. Siku hizi Diploma nao wanamaliza hamnazo hizo skills labda wapatie kazini.
Div 2! Nipishe huko!Uelewa wako ni mdogo, hii mada haikufai inajiaibisha bure, kuna watu wamepiga form four divion one, theni wakaopt kusoma diploma, mimi hapa nina dv 2 form four na dv 2 form six , niliopt kusoma diploma ya ualimu wakati point zinaniruhusu kwenda university, kwahiyo na mimi ni felia?
Hizo asilimia umekadilia, tu na sidhani kama umesoma hizo kozi zoteBsc na BEng hazifanani mkuu, kwa uzoefu mdgo nlionao naweza sema Bsc ni 40% practical alaf 60% theory kwa BEng hapa Tanzania ni +75% practical alafu less than 25% theory, sitoweka maelezo sana kafatilie mwenyewe utajijibu,
Ukija hapo unaposema diploma ni theory nyingi, hilo sitolisemea manake sikupitia diploma
hapa mnadanganya sana , mtu wa dip ana uelewa mwepesi sio art sio sayansi , na mtu wa diploma anakuwa na uelewa zaid kama atakuwa anajiendeleza kweny kozi ile ile tofauti na mtu wa six ambae hajui basics za course ni zip hasaHata kwa Sayansi aliye pitia six anakuwa mwepesi tofauti na diploma, ila work experience wa diploma anakuwa nayo, six inafaa kwa watu wanao somea ualimu,
Na Mimi mwenye diploma niliyeenda degree Kwa pass mark za advance nakuwajeIkumbukwe kuwa kuna mwenye diploma na kasoma 5&6 (A-level) then kaenda degree kupitia pass mark za diploma
Hapana siku hizi mambo yako tofauti, mimi mdogo wangu ameenda diploma direct akiwa na div. ll ya point 20 combinations nyingi zikiwa zimekaa vizuri alipomaliza aliunganisha degree DUCE na bado anafanya vizuri sana hajawahi kupata GPA chini ya 4Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Nafanya kazi na mtu aliefeli form 4, akaenda Uganda kusafisha vyeti Kisha akarudi kusoma diploma chuo mojawapo kati ya ulivyotaja ingawa jamaa yupo vizuri kwenye field yake.Inategemea na diploma gani, kuna watu wanaenda vyuo vya DIT, MUST, ATC na vinginevyo wakiwa na matokeo mazuri kabisa.. Umefeli form 4 huwezi kwenda kusoma DIT kizembe zembe.
Kuna waliomaliza six halafu max hazikutosha wakapitia dip ili waje kupata admission ya degreeUsually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
kwenye nini?Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?