Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Sio kweli acha uongo
Mimi form four nilipata one nikachaguliwa civil Engineering DIT
Na mwaka juzi mdogo wangu kapata one kachaguliwa chuo cha Afya Tabora Diploma

Sasa wewe unasemaje Diploma ni failure?? Unajielewa kweli
 
Unajidanganya. Uliza wanaosoma diploma later wanafunga udsm kinawachokea labda dit must and atc kinaendana nao.

Kuna Bachelor of science in electrical engineering
Na Kuna bachelor of engineering in electrical engineering.
Iyo Bachelor of Sayansi udsm.

Huyo wa diploma hawawezi kujibu maswali ya why Mana Hana science behind of Engineering Bali akafundishwa Engineering tu. Hata physics aliyo nayo Ni ya olevo pia hesabu hajasoma topics zote Bali Ni baadhi tu ambazo anaenda kuzitumia aka bam fulani.yule wa advance anadili na fupa lililomshinda fisi kitu pure mathematics sio bam iyo
Acha uongo hakuna unachokijua

Kwa taarifa yako mimi nisoma diploma ya Civil DIT then bachelor ya Civil nimesoma Coet Udsm tena nimesoma nikiwa nimeshaajiliwa
 
A level ni kupoteza muda tu haina faida yoyote. Dunia imebadilika kwa sasa mtu anahitaji skills zaidi kuliko knowledge za uongo na ukweli (maneno mengi yasiyo na maana).

Ilipaswa mwisho uwe o level tu. Hata shule ya msingi mwisho uwe darasa la sita. Kuwe na mfumo wa kupitia veta kabla ya kuendelea hadi degree. Hii itasaidia kuwajenga vijana katika kupambana na hali ya sasa ya ukosefu wa ajira.

Naona hapa watu wanajazana ujinga tu kuwa A level ni ngumu mara Diploma ni bora alafu wote kwenye ajira ni hola/sifuri/null/non sense/hamna lolote.

Naongea kwa uzoefu na kumaanisha maana nimeshuhudia level zote na sijaona lolote la maana.
 
Ukianza na certificate/diploma baadaye ndo ukatafute degree ni wazi kuwa unakuwa na elimu ya kuunga unga. Hata kama una div.1 form 4, ukienda huko utakutana na vilaza kibao halafu utashuka viwango tu.

Kama akili inamudu acha mtoto afanye A level halafu aende kwenye degree.
Kujaribu kulinganisha diploma ya CBE na degree ni kichekesho
Sio kweli kwamba ukisoma Diploma ni elimu ya kuunga unga

Mfano kipindi cha nyuma mimi nilivyomaliza kidato cha nne nilichaguliwa moja kwa moja Dit na tulikuwa tunalipwa pesa ya chakula na serikali ada tulikuwa tunalipa kudogo sana.
Sasa hapo unasemaje ni kuunga unga
 
Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Mtt wa brother ana Div 1 form 4 na keshasema hataenda 5&6, anatafuta chuo kusomea software/computer engineering...siku hzi vijana wengi wameshagundua kusoma advance ni kupoteza muda tu
 
A level ni kupoteza muda tu haina faida yoyote. Dunia imebadilika kwa sasa mtu anahitaji skills zaidi kuliko knowledge za uongo na ukweli (maneno mengi yasiyo na maana).

Ilipaswa mwisho uwe o level tu. Hata shule ya msingi mwisho uwe darasa la sita. Kuwe na mfumo wa kupitia veta kabla ya kuendelea hadi degree. Hii itasaidia kuwajenga vijana katika kupambana na hali ya sasa ya ukosefu wa ajira.

Naona hapa watu wanajazana ujinga tu kuwa A level ni ngumu mara Diploma ni bora alafu wote kwenye ajira ni hola/sifuri/null/non sense/hamna lolote.

Naongea kwa uzoefu na kumaanisha maana nimeshuhudia level zote na sijaona lolote la maana.
Yaani mimi kosa nililofanya kwa mtt wangu wa kwanza sitalifanya kwa wtt wengine, wanaoendelea wakimaliza tu form 4, wanaenda chuo...tunapoteza muda na pesa.
 
Yaani mimi kosa nililofanya kwa mtt wangu wa kwanza sitalifanya kwa wtt wengine, wanaoendelea wakimaliza tu form 4, wanaenda chuo...tunapoteza muda na pesa.
Kwa kweli kuwahimiza vijana wang'ang'anie elimu hii ya kizamani ni kuwaharibia maisha yao.
Wazazi tubadili formula kijana tumuandae kulingana na dunia inavyobadilika. Mpe elimu(skills based) ambayo unaona kwa asimilia 99 atatoboa na pia muandalie mtaji.
Hali sio kama zamani unamaliza chuo na kuingia ofisini. Ofisi tuwaachie wakubwa wa nchi waweke watoto wao.
Kijana atakuja kukushukuru sana.
 
Sio unamwambia kijana elimu ndio ulithi wake alafu elimu yenyewe ndio hiiiii! Hiyo ilikuwa zamani sio sasa.
 
Kamaliza F6 ana qualify university badala yake akaanzie diploma then arudi university? Hakuna kitu kama hiko!
Usikatae Mkuu, mfano wapo Walimu wengi wamesoma f5&6, then wakaenda Dip na baadae wakaenda University.
 
Unatetea vp point yako kwa yule mwenye div one tena ya masomo ya science kutokwenda 5 na kuunga dip.

Usikariri
Jamaa anajifanya mjuaji sana, tuna vijana wana DIV 1 za form four na wanaamua kujiunga na diploma na ni wazuri sana class, tena hadi fani za Civil, Electrical, Architecture na zinginezo
 
Ipo namna hii, watu wanasoma diploma sio kwamba wamefeli form 4 hapana. Mtu anaamua au anashawishiwa kwenda Diploma ili aajirike kirahisi. Kama inavyojulikana mahitaji mengi kwenye ajira ni diploma kuliko Bachela. Kwa hiyo anasoma Diploma na Bachela, Kazi anaombea Diploma akithibitishwa kazini anatoa na cheti cha Bachela wanafanya Upgrade tu maisha yanasonga. Kampuni na taasisi nyingi siku hizi haziajiri watu wenye Bachelor moja kwa moja hata wakiajiri ni kwa kiasi kidogo sana tena kwa mahitaji Maalumu siyo kwa Mkataba wa kudumu. Kwa sababu sio rahisi mtu umefanya nae kazi miaka 3 ukijua ana Diploma anakuletea cheti cha Bachela ukikatae uajiri mwingine ambaye ndio atakuja kuanza upya.
Kwenye fani za Engineering aliyepitia Diploma na baadae Bachela ana soko kubwa kwenye ajira kuliko aliyepitia form six. Diploma unafundishwa kuwa fundi na Bachela unafundishwa kuwa kiongozi. Mwenye diploma yote hivyo anavyo. Sijui fani zingine
 
Mmoja kapoteza muda kusoma 5-6, mwingine katumia muda vizuri kusoma vitu vyenye tija.

Nahisi 5-6 ni sehemu ya watoto kukua ndomana elimu ya kiwango hicho haina tija. Niko tayari kukosolewa
Uongo!
Inategemea na aina ya degree, mfano kwenye Engineering, mtu anayetoka diploma alafu akaanze Bachelor of Science in Engineering huezifananisha ubora wake na mtu wa form six, kwa mtu wa diploma suitable degree ni Bachelor of Engineering though kwa mtu wa advance hatopata shida sana kama anakichwa chepesi na alikuwa anaelewa vitu alivyokuwa advance otherwise hatokuwa vizuri sana kama aliyetoka diploma
 
Sawa mkuu, huo ubora wa Muhitimu wa kidato cha sita unasababishwa na kipi haswa kwenye sayansi ya uhandisi ambacho huyu wa diploma amepungukiwa.
 
Sawa mkuu, huo ubora wa Muhitimu wa kidato cha sita unasababishwa na kipi haswa kwenye sayansi ya uhandisi ambacho huyu wa diploma amepungukiwa.
Kidato cha sita na tano wanamsingi mkubwa wa theory, vitu kama solid state physics, current electricity , Mechanics, pure Mathematics etc. Ambavyo ukija kwenye Bachelor of Science ni lazima manake hapa inapigwa the Engineering and Science behind that engineering, Tofauti na Bachelor of Engineering ambayo inabase sana na Engineering alafu science inakuwa haipigwi kiviiile ndo mana wengi wanakuwa vizuri sana interms of technical skills (sisemi kwamba ni mbaya) so, ni rahisi kwa diploma kufanya bachelor of Engineering kuliko Bachelor of Science (simaanishi hawezi, ila kwa aliyepitia advance anakuwa yupo vzr zaidi kwa mfumo wa Bsc
 
Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
Mmoja ana hands on experience through diploma, mwingine ndio hana experience but large theoretical knowledge
 
Uongo!
Inategemea na aina ya degree, mfano kwenye Engineering, mtu anayetoka diploma alafu akaanze Bachelor of Science in Engineering huezifananisha ubora wake na mtu wa form six, kwa mtu wa diploma suitable degree ni Bachelor of Engineering though kwa mtu wa advance hatopata shida sana kama anakichwa chepesi na alikuwa anaelewa vitu alivyokuwa advance otherwise hatokuwa vizuri sana kama aliyetoka diploma
Kwanza jiulize kwanini kuna diploma? Alafu kuna degree? Sisi waTz tumezoea kutumia vibaya raslimali zetu. Diploma ilikuwa mahususi kwa wanafunzi wenye ufaulu wa chini kwa ajili ya kada ambazo zinawasaidia Mainjinia- "teknishani". Hii kada ya "technician" huwa wanajifunza sana utendaji kwa mikono, wakati " Engineers" wanajifunza nadharia ili kuvumbua na kutatua matatizo katika utendaji wa mitambo , uendeshaji kwa faida na matatizo mengine makubwa makubwa.
 
Back
Top Bottom