cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
PCM/ PCB sio makalio kwamba kila mtu anayo, ndo maana walikimbia, unadhani hao waliopita Dip hatujakutana nao huko chuo? Ni weupee kabisaa afu hawajiamini sasa.Speaking from experience, tuichukulie elimu ni kama nyumba, Yes nyumba hiihii tunazoishi.
Generally, anayepitia Diploma anafundishwa namna gani nyumba ilivyoanza, atafundishwa kuhusu ardhi ya hapo, atadadavuliwa khs ardhi, atafundishwa settings kiundani, atafundishwa kila kitu kwa undani kabisa mpaka kufikia finishing.
Anayeanza Degree kutokea A Level, yeye atafundishwa ili nyumba ikamilike lazima kuwe na ardhi, utafanya settings, utakuja msingi n.k hawezi kufundishwa kila kitu kwa undani kama mtu wa Diploma.
Nikukumbushe kuwa, ndani ya miaka miwili ya Degree, ile ni Diploma. Waliopita Diploma wanakuwa wameshasoma more than 80% ya masomo ya degree.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitudanganye hapa,