Pamoja na kuwa waliopita Diploma (kutokea kidato cha nne) wanaweza kuwa watendaji wazuri kwa kuwa wamefanya mazoezi mengi; ILA Waliopita kidato cha tano na sita wanapata Confident na uelewa wa haraka .
Ukifuatilia soko la ajira kwa sasa linahitaji mtu mwenye ujasiri/Confident ya kujieleza kama Faru John na hapo ndipo wale waliopita kidato cha sita wanapo waacha wale wa Diploma. Sielewi kwa nini ila waliotokea Diploma weeengi wao ni waoga waoga....
Wanaohusika na ajira/Interview watanielewa....