Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Pamoja na kuwa waliopita Diploma (kutokea kidato cha nne) wanaweza kuwa watendaji wazuri kwa kuwa wamefanya mazoezi mengi; ILA Waliopita kidato cha tano na sita wanapata Confident na uelewa wa haraka .
Ukifuatilia soko la ajira kwa sasa linahitaji mtu mwenye ujasiri/Confident ya kujieleza kama Faru John na hapo ndipo wale waliopita kidato cha sita wanapo waacha wale wa Diploma. Sielewi kwa nini ila waliotokea Diploma weeengi wao ni waoga waoga....
Wanaohusika na ajira/Interview watanielewa....
Hakuna ukwelj wowote
Hivi vitu vyote ni sawa
Ukiwa Medical Doctor kwa kutokea Diplôme na mwingine kutokea form six ; wore n madokta tena mwenye diploma anaweza kuwa competent zaidi based on experience
On the other hand ; tofaut kubwa ni namba of years
Diploma atakuwa katumia miaka mingi
Otherwise hakuna tofauti