cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwani nani hajui siku hizi wanaajiriwa wa Dip kwa wingi, kisa mshahara wao ni mdogo na serikali ndo inaweza afford,Humu ndani watu wamejawa ushabiki, mimi nina friends zangu walisoma Diploma Engineering DIT, wengine walisoma chuo cha sayansi kama sikosei kipo Lindi, hawa wote hawakukaa kitaa hata kwa miezi mitatu, hawa DIT walikaa kama mwezi tu kama sio miwili wakaenda Tanesco Tanga.
Wale walindi mmoja ni clinical officer na wengine ni mafamasia, mmoja yupo muhimbili, wote waajiriwa. Nina mifano mingi sana, diploma inaweza kukufanya uanze kushika mia mbili mia tatu mapema zaidi kuliko kupitia a level.
Unadhani unajua pekee ako hilo jambo?