Kuna tofauti gani kati ya "Football Federation" na "Football Association"?

Kuna tofauti gani kati ya "Football Federation" na "Football Association"?

inategemea jinsi katiba zao zilivyoandikwa,na zinaweza kuwa zina fanana.
tff inajiita federation kwasababu ni muunganiko wa vyama vya mpira wa miguu vya mikoa,sasa yawezekana pia pia na hicho chama cha misri maana yake ni hiyo hiyo ila wao wakatumia neno association
 
Mkuu, kwa hiyo yanatumika "interchangeably"?
 
Unaposema association maana yake mpira wa kikapu netball basketball vyote vipo kwenye association lakini federation ni mpira tu either Male or female football. Ndio maana kuna chama cha basketball na wana raisi wao kuna netball wana viongozi wao ndio maana hata vilabu vya Tanzania mwanzo vilikuwa vinatumia football club CAF wakavitaka watumie sports club kwasababu kwenye sports kuna basketball netball kuna females football kwa mfano real Madrid ni sports club wana activities nyingi sana na taasisi nyingi sana kwenye real Madrid.

Nimetoa mfano tofauti ili ieleweke vizuri.

Alamsik.
 
Kwa hiyo Tanzania tuna associations nyingi lakini Egypt kuna association moja

Yes upo sahihi...

Zamani tulikuwa na association moja ikiitwa FAT (Football Association of Tanzania)...

ndio maana soka lao lipo juu kulizidi la Tanzania??..

Kiwango cha soka kinachangiwa na mambo mengi ukiachana na namna ya soka linavyoongozwa...

Ukiacha soka, kwa uchumi tu jamaa wametupiga gap pakubwa sana...
 
Ndio maana kwenye mechi za Caf champions walichukua team ya wanawake kutoka team nyingine kwasababu hyo na ndio sababu yanga na simba zinatimu za wanawake.
Mbona kwenye CAF Championships Matches Azam F.C wanaume walicheza??..
 
Unaposema association maana yake mpira wa kikapu netball basketball vyote vipo kwenye association lakini federation ni mpira tu either Male or female football
FAT je?
Hii iliitwa Football Association of Tanzania
Sasa hiyo michezo mingine inaingiaje kwenye Football
 
Back
Top Bottom