Kuna tofauti gani kati ya "Football Federation" na "Football Association"?

Kuna tofauti gani kati ya "Football Federation" na "Football Association"?

Hayo ni majina kulingana na mfumo wa utawala wa uongozi ulivyo

Kwenye Federation kuna kua na vyama vingi ambavyo umoja wao ndio unaunda federation
Kwa Bongo vyama vya mpira vya mikoa ndio vinaunda Federation
Vyama vya mikoa vinakua vinajitegemea kwenye maamuzi yao, uchaguzi, vyanzo vya mapato nk nk

Kwenye Association kuna kua na utawala mkuu ambao ni Association yenyewe halafu huko chini wanakua na mgawanyiko wa utawala unao anzia juu kuja chini

Mfano mzuri ni ile unasikia serikali za majimbo kama USA
 
michezo ipi?
1736609752081.png
 
Muundo wa taasisi ulibadilishwa kwa mujibu wa maelekezo ya fifa na caf
Kwa hiyo wao Egypt waligoma kufuata maelekezo ya FIFA na CAF na kuamua kubaki na Association badala ya kuhamia kwenda federation??..
 
angalia football association of soth africa kifupi safa lakini kimamlaka ndio wasimamizi wa mpira wa miguu kwa wanaume na wanawake afrika kusini,kwa tanzania wao wamechagua jina tff kwa maana tanzania footbal federation wakiwa na mamlaka ya mpira wa miguu kwa wanaume na wanawake kwa nchi ya tanzania
 
Tanzania Football Federation ni shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, zamani ilikuwa ni Football Association of Tanzania, chama cha mpira wa miguu Tanzania
 
FAT je?
Hii iliitwa Football Association of Tanzania
Sasa hiyo michezo mingine inaingiaje kwenye Football
Ball ni mpira inawezekana ikawa basketball netball hyo foot isikuchanganye ndio maana nimekwambia kwamba real Madrid ni mfano wa ninacho kizungumza wana team mpaka ya basketball wale jamaa.
 
Labda tuwasikie na wengine wanasemaje👇

The terms federation and association both refer to groups of entities coming together for a common purpose, but they differ in their structure, governance, and relationship among the members. Here's a breakdown of the differences:

1. Federation:​

  • Definition: A federation is a group of organizations or entities that come together and form a larger, more centralized structure while still maintaining some level of autonomy.
  • Structure: In a federation, each member retains its independence and has its own governing body, but they agree to follow certain collective rules and share some common objectives. The federation itself has a central governing body that coordinates activities and enforces shared policies.
  • Examples: The United States, European Union, or sports federations like FIFA or the International Olympic Committee (IOC).
  • Governance: Federations have a more formal, hierarchical structure with a central authority that coordinates or regulates the activities of its members.
  • Autonomy: The member entities (such as states or regions) maintain a certain degree of autonomy but must adhere to the overarching rules and agreements of the federation.

2. Association:​

  • Definition: An association is typically a more informal and loosely structured group of entities or individuals that join together for a common purpose, often without significant central control.
  • Structure: An association usually has a governing body, but the member organizations or individuals retain more independence compared to a federation. The association typically serves as a platform for cooperation, networking, or advocacy rather than a governing body with significant regulatory power.
  • Examples: Professional organizations like the American Medical Association (AMA), trade associations, or clubs.
  • Governance: Associations tend to have a more flexible governance structure. They may have an executive or board, but the emphasis is on cooperation rather than regulation.
  • Autonomy: Members usually retain full autonomy, and the association provides support or collective bargaining without imposing many binding regulations.

Key Differences:​

  • Degree of Centralization: A federation is generally more centralized, with a stronger central authority, whereas an association tends to be more decentralized.
  • Autonomy: Members of a federation often give up some of their autonomy to work together, while members of an association usually maintain their independence.
  • Purpose and Scope: Federations are often formed to coordinate on matters that require a central governing body (such as policy implementation or regulation), while associations are generally formed for networking, mutual support, or advocacy.
In summary, federations have a more structured, formal governance system with shared authority, while associations are typically less formal and more focused on cooperation among independent members.
 
Ball ni mpira inawezekana ikawa basketball netball hyo foot isikuchanganye ndio maana nimekwambia kwamba real Madrid ni mfano wa ninacho kizungumza wana team mpaka ya basketball wale jamaa.
Hiyo inaweza kuaply vijijini huko
 
Hakuna tofauti ya maana au lengo kati ya federation na association. Kwa maana hiyo federation = association. Kikundi cha watu walioungana kwa lengo fulani.
Kwa hiyo waliobadilisha FAT kuwa TFF ilikuwa ni mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom