... ila sio kila marehemu ana hadhi ya kuwa hayati baada ya mazishi; ungefafanua kwa kina ili kutoacha maswali yasiyo na ulazima.Kipindi cha maombolezo kabla ya mazishi ni marehemu kwa kuwa tunamuombea MWENYEZI MUNGU amrehemu.
Baada ya mazishi anakuwa hayati, tukikumbuka mambo ya enzi zake.
Kwamujibu wa ushahidi uliouleta Kuna tofauti Kati ya kufa na kufariki?
Hayati inatumika kumaanisha mtu anayetajwa kishafariki na marehemu ni hivyo hivyo isipokuwa Marehemu inatumika kama unataka huyo aliyefariki apate rehema za Mungu ama awe hajazikwa au awe kishazikwa kwa kipindi chochote.Kipindi cha maombolezo kabla ya mazishi ni marehemu kwa kuwa tunamuombea MWENYEZI MUNGU amrehemu.
Baada ya mazishi anakuwa hayati, tukikumbuka mambo ya enzi zake.
Hakuna tofauti.Kwamujibu wa ushahidi uliouleta Kuna tofauti Kati ya kufa na kufariki?
Hayati inatumika kwa marehemu ila sio wote, bali ni yule mwenye nafasi fulani katika jamii au labda niseme inatumika kwa yule mtu ambae katika maisha yake ameacha alama, mfano Hayati Bob Marley nk..Kipindi cha maombolezo kabla ya mazishi ni marehemu kwa kuwa tunamuombea MWENYEZI MUNGU amrehemu.
Baada ya mazishi anakuwa hayati, tukikumbuka mambo ya enzi zake.
"The late" as long as hana pumzi tena.kiswahili bana dha so kwa kingereza tunaitaje iyo mkuu?
.............. au kuuwawa!!Kwamujibu wa ushahidi uliouleta Kuna tofauti Kati ya kufa na kufariki?
Hii sikujua, merci!Kipindi cha maombolezo kabla ya mazishi ni marehemu kwa kuwa tunamuombea MWENYEZI MUNGU amrehemu.
Baada ya mazishi anakuwa hayati, tukikumbuka mambo ya enzi zake.
Hayati inatumika kwa marehemu ila sio wote, bali ni yule mwenye nafasi fulani katika jamii au labda niseme inatumika kwa yule mtu ambae katika maisha yake ameacha alama, mfano Hayati Bob Marley nk..
Ila akifa mtu wa kawaida anakuwa tu marehemu siku zote....
.............. au kuuwawa!!
Mi niliandika maelezo kwa mujibu wa kugha ya kiswahili na sio imani ya kidini.Sio sawa, Hayati inatumika kwa mtu yeyote aliyekufa na Marehemu inatumika kwa mtu aliyekufa na unataka mtu huyo apate rehema za Mungu huko alipo ndipo utaanza kwa kumuita Marehemu fulani.
Mi niliandika maelezo kwa mujibu wa kugha ya kiswahili na sio imani ya kidini.
NIlisema kuwa nimeandika kwa mujibu wa kiswahili na sio kidini kifupi ni kwamba wanaomuita Magufuli Hayati wako sahihi.Marehemu ni yule mtu anatakiwa apate rehema, sasa rehema hizo zinatoka wapi???---- sio zinatoka kwa Mungu??!!, neno rehema linao msingi wa kidini.
NIlisema kuwa nimeandika kwa mujibu wa kiswahili na sio kidini kifupi ni kwamba wanaomuita Magufuli Hayati wako sahihi.
Watu wote wanaweza kuitwa marehemu ila sio wote wana hadhi ya kuitwa HAYATI.
Marehemu ni wale malofa wakifa ila akifa mwenye pesa au madaraka flani huitwa hayatiKwa wale wajuzi wa lugha yetu tofauti ya maneno hayo ni nini hasa?
Yap....ni contextual. Enzi (Hayati), Dua/Maombi(Marehemu). Kwa hivyo naweza kuomba misa kanisani kwa ajili ya MAREHEMU Julius Kambarage Nyerere au Nikaandaa muhadhara au mkanasha kuhusu maisha ya kisiasa ya HAYATI Julius Kambarage NyerereKipindi cha maombolezo kabla ya mazishi ni marehemu kwa kuwa tunamuombea MWENYEZI MUNGU amrehemu.
Baada ya mazishi anakuwa hayati, tukikumbuka mambo ya enzi zake.
FYI hakuna jambazi anaeitwa Hayati kwa mujibu wa Bakita only kwa mujibu wa hiyo imani yako ya dini uliyosema ndio unaweza kufanya hivyoWote waliokufa wanayohadhi ya kuitwa hayati lakini sio wote waliokufa wanayohadhi ya kuitwa marehemu.
Mfano, Ukimuua jambazi fulani aliyetaka kukudhuru huyo huwezi na itakuwa ni jambo la kushangaza umwite Marehemu fulani lakini haitashangaza ukimwita hayati fulani.
Marehemu ni jina linaloanza kutajwa kabla ya jina la mtu aliyekufa kama dua ya rehema kwake na rehema hizo ni kutoka kwa Mungu.
Hayati ni jina linalotangulia jina la mtu aliyekufa.na lipo kama utambulisho tu kwamba mtu huyo kishafariki, Marehemu ni jina linaloangulia jina la mtu aliyekufa linalotambulisha kwamba mtu huyo kafariki na anaombewa rehema kutoka kwa Mungu, Kwa kiarabu neno hilo ni Marhum yaani mtu mwenye rehema au mtu anayehitaji rehema.
Kwanini unashindwa kuelewa ndugu???.
Mtu yeyote aliyekufa anaitwa hayati lakini sio kila mtu aliyekufa anaweza kuitwa marehemu.