Kuna tofauti gani ya maslahi kati ya muhasibu mwenye CPA na asiye na CPA?

jmsjrln ameeleza vizuri sana huko juu.

Mie nimewahi kufanya kazi za ki-uhasibu kabla sijapata CPA, najua fika madhira niliyokuwa nayapata kipindi hiko kuanzia ki fedha,kitaaluma mpaka kimamlaka.

Kama wewe una Degree tu na hauna CPA please go for it....that's not a joke!!

Labda uwe upo kibaruani/kazini tayari na umepata mazingira salama ,hapo sitotia neno.

Ila kama haujapata kazi au upo kwenye taasisi zenye ushindani rafiki nenda kachukie CPA.
 
Ebu soma vizuri cv ya yule mama uone kama hana cpa.huko private sector huwezi fikia kuwa cfo afu usiwe na cpa aisee..hiyo nakataa

 
Halmashauri mwenye CPA (T) na asiye na CPA tofauti yao laki 2
Ila na experience wanazingatia zaidi maana wengine wana CPA lakini kazidiwa mshahara ambaye hana CPA ila ana experience zaid
 
ushauri mzuri munoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…