Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Imani inaleta utulivu ndaniKuna komandoo nipo naye huwaga hana habari na kanisa.Akijiamulia huwa anaenda misa ya jioni/watoto.Ila kwa kuongoza sala wakati wa kula na tunapotaka kulala hajambo.Hata anapotaka kunywa bia huwa anatulia kidogo.Ni imani yangu huwa anaziombea bia tunazogonga.She is so sweet!