Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

Kuna komandoo nipo naye huwaga hana habari na kanisa.Akijiamulia huwa anaenda misa ya jioni/watoto.Ila kwa kuongoza sala wakati wa kula na tunapotaka kulala hajambo.Hata anapotaka kunywa bia huwa anatulia kidogo.Ni imani yangu huwa anaziombea bia tunazogonga.She is so sweet!
Imani inaleta utulivu ndani
 
Ila mbona mara nyingi mpenzi ndio hupanda daraja na kuwa mke?

Kuna ndoa nyingi tu zilianza kwa mmoja kusema ngoja niwe nae kwa muda wakaishia kwenye ndoa.

Kwa uhalisia mahusiano ya sogea tukae,yaani kuishi kinyumba kimya kimya halafu wakaja kubariki ndoa baadae,hudumu zaidi kuliko hizo za kujifanya tulionana kanisani vigezo na masharti vimezingatiwa,harusi babu kubwa na matarumbeta kibao mara nyingi huwa hazitoboi asilimia kubwa.
 
Back
Top Bottom