Ila mbona mara nyingi mpenzi ndio hupanda daraja na kuwa mke?
Kuna ndoa nyingi tu zilianza kwa mmoja kusema ngoja niwe nae kwa muda wakaishia kwenye ndoa.
Kwa uhalisia mahusiano ya sogea tukae,yaani kuishi kinyumba kimya kimya halafu wakaja kubariki ndoa baadae,hudumu zaidi kuliko hizo za kujifanya tulionana kanisani vigezo na masharti vimezingatiwa,harusi babu kubwa na matarumbeta kibao mara nyingi huwa hazitoboi asilimia kubwa.