DuhUnaweza kuta mtu anaenda kwa mganga wa kienyeji anaumwa balaa,anatibiwa kisha anaambiwa njia zimezibwa kurudi home, so inatakiwa aendelee kukaa kwa mganga,siku zimeenda jamaa anaanza kuaminiwa na mganga, kama kuagizwa dawa,kuwatibu wagonjwa, kadri siku zinavyokwenda anaaminiwa zaidi na kuoneshwa dawa zaidi na zaidi,halipishwi hela kuwa amejua uganga ila kazi zake za usaidizi zimemfanya ajue uganga, badae anapewa eneo anajenga anaishi kwake anakuwa mganga.
Inasikitisha sana.Usisahau kuna waganga nao wanatapeliwa..unakuta kamsaidia mtu matoke yake yule mtu akishafanikiwa kutatua tatizo lake....anamwambia mganga kwamba ni uwezo wa Mungu siyo wewe