Kuna tofauti ya Energy iliyopo mchana na usiku

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF.

Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo ulaya ikifika usiku ila mchana ni ngumu.Na hata tv za zamani zilianza usiku kuonekana.

Nimeanza kwa kutumia mfano huu tupate kuelewa.

Kwa nini maombi ya usiku ni rahisi kujibiwa ,mfano kutongoza demu usiku,kuongea dili usiku,kusoma usiku,kutafakari,kumkamata maduro usiku hata osama naye vile vile,Kutoa kafara usiku.

Mshana Jr
 
Kwa kuongezea

UCHAWI USIKU

MIZAGAMUO USIKU
 
Waafrika kwa sababu ya uduni wa ubongo wetu kila kitu tunakiita miujiza, uchawi au maajabu.

Hiyo phenomenon imeelezewa kisayansi wewe unaleta uganga hapa.
 
Usiku huwa kuna utulivu mkubwa sana, ndio maana hata hapa jf kuna uzi wa usiku tu, hali ya hewa huwa shwari. Fisi akilia hata umbali mrefu utamsika, mwizi akinyata utamsikia, shoo ya usiku huwa ina nguvu nyingi. Huo muda unaitwa usiku tulivu, kuna nguvu za aina yake
 
Akili ya binadamu hutanga Tanga , kutokana na kelele za nnje yake

Mchana Kuna kuwa nashughuli nyingi na kelele nyingi , kitu kinacho sababisha milango mitano ya fahamu kutanga Tanga , katika hali ya kutafasiri kila aina ya kelele , mguso na nk

Usiku , Kuna kuwa na utulivu na hata kelele za shughuli za kibinadamu , sauti za wanyama zinapungua , hivyo milango ya fahamu inapunguza kutatanga kutafasiri kila aina ya kelele ,miguso na nk

Hivyo usiku milango ya fahamu Huwa active na deep sana kwa sababu Haina shughuli nyingi za kufanya
 
Kuna sababu nyingi kwa namna tofauti tofauti kutokana jambo husika.. kwenye mambo ya radio hapo, fizikia imezungumzia mambo ya skywave propagation.
Kwenye dua usiku, hii katika uislam imefundishwa..
Hayo mengine ni sababu ya utulivu wa usiku.. mfano hili la kusoma na mengineyo, ubongo unahitajo utulivu, U'concentrate na jambo moja ni rahisi kupata matokeo chanya kuliko ubongo ukiwa unadeal na mambo mengi, mara muziki, mara usikie barabarani ajali, mara usikie mtoto kanya huko, mtaa wa pili, watu wamefumaniana, mara hodi barua kadi ya mchango wa harusi, pua inahisi kama harufu ya nyama kuungua, hii inatofautisha mchana na usiku.
Hata hiyo mchana ukienda sehemu kuna utulivu wa hali ya juu, basi kuna namna utapata hali ya usiku, kuanzia kusoma na mengineyo
 
Tatizo la jf mnajifanya wasomi wa sayansi sana, kila jambo ambalo lipo nje ya uwezo wenu mnalipa majibu ya sayansi zenu za uongo na kweli.

Kwasababu mmeamua kufikiria ndani ya box lenu la usomi na sayansi. Basi tuishi humo kwenye illusion zenu za uongo na ukweli.
 
we madiru mumepishana weupe wa ngozi.Haya tupe ulijuwalo uwanja mpana huu sio kinyeo
 
Back
Top Bottom