Kwa kuongezeaKwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF.
Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo ulaya ikifika usiku ila mchana ni ngumu.Na hata tv za zamani zilianza usiku kuonekana.
Nimeanza kwa kutumia mfano huu tupate kuelewa.
Kwa nini maombi ya usiku ni rahisi kujibiwa ,mfano kutongoza demu usiku,kuongea dili usiku,kusoma usiku,kutafakari,kumkamata maduro usiku hata osama naye vile vile,Kutoa kafara usiku.
Mshana Jr
Waafrika kwa sababu ya uduni wa ubongo wetu kila kitu tunakiita miujiza, uchawi au maajabu.Kwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF.
Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo ulaya ikifika usiku ila mchana ni ngumu.Na hata tv za zamani zilianza usiku kuonekana.
Nimeanza kwa kutumia mfano huu tupate kuelewa.
Kwa nini maombi ya usiku ni rahisi kujibiwa ,mfano kutongoza demu usiku,kuongea dili usiku,kusoma usiku,kutafakari,kumkamata maduro usiku hata osama naye vile vile,Kutoa kafara usiku.
Mshana Jr
Naona kisayansi na uchawi hapo tofauti ni lugha tu,jambo likishaeleka na kuwa proved ndio tunaiita sayansi , kama bado siyo vibaya kuliita uchawiWaafrika kwa sababu ya uduni wa ubongo wetu kila kitu tunakiita miujiza, uchawi au maajabu.
Hiyo phenomenon imeelezewa kisayansi wewe unaleta uganga hapa.
Aisee kwani hadithi ya za sungura na tembo walikwambia mifano yake wewe umekuwa sungura kama umuonavyo.Waafrika kwa sababu ya uduni wa ubongo wetu kila kitu tunakiita miujiza, uchawi au maajabu.
Hiyo phenomenon imeelezewa kisayansi wewe unaleta uganga hapa.
😀😀😀😀Waafrika kwa sababu ya uduni wa ubongo wetu kila kitu tunakiita miujiza, uchawi au maajabu.
Hiyo phenomenon imeelezewa kisayansi wewe unaleta uganga hapa.
Baaasi kaka utatupgia...type elimu hiyoWaafrika kwa sababu ya uduni wa ubongo wetu kila kitu tunakiita miujiza, uchawi au maajabu.
Hiyo phenomenon imeelezewa kisayansi wewe unaleta uganga hapa.
Una maanisha meditation bila shaka , meditation haiondoi changamoto ila inafanya akili yako iwe normal tu hata kama changamoto ipo utachukulia kawaida tu.Nikweli hata changamoto zinazo kusumbua ukitulia vizuri usiku na kutafakari kwa kina unapata solution tofauti tofauti za kutatua hayo matatizo
we madiru mumepishana weupe wa ngozi.Haya tupe ulijuwalo uwanja mpana huu sio kinyeoTatizo la jf mnajifanya wasomi wa sayansi sana, kila jambo ambalo lipo nje ya uwezo wenu mnalipa majibu ya sayansi zenu za uongo na kweli.
Kwasababu mmeamua kufikiria ndani ya box lenu la usomi na sayansi. Basi tuishi humo kwenye illusion zenu za uongo na ukweli.
Hapo jibu ni A. "milango ya fahamu"we madiru mumepishana weupe wa ngozi.Haya tupe ulijuwalo uwanja mpana huu sio kinyeo