Kuna trend mpya hapa mjini toka 2022 ila kwa sasa inakua kwa kasi sana, yaani karibu kila dem pisikali ana dem wake wa kiarabu

Kuna trend mpya hapa mjini toka 2022 ila kwa sasa inakua kwa kasi sana, yaani karibu kila dem pisikali ana dem wake wa kiarabu

Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana.

Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili swala toka nikiwa Morogoro, na baadae kwenye kona mbalimbali za dar.

Mifano ipo mingi sana, siwezi kuitaja lakini hadi mastaa, kama yule video vixen chotara wa kirusi aliekuwa runner kwenye miss universe naye ana mwarabu wake anamsaga, na kibaya wanajiachia sana wakiwa viwanja na kuna siku wamepigana pub kisa wivu mbele ya watu kibao.

Wanaume tuwe makini, vita pande zote zote. Ukisimama nchale, ukiinama nchale.
Yule sasa hivi si mmama baba yake alikuwa mwanajeshi na mwalimu shule ya air wing sec miaka ya 1994 to 2000
 
mmenikumbusha nikicheki kimchep changu cha kiarab niende nkashike vuwz laini mshahara bado unaniwasha
 
Back
Top Bottom