Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Kwa hyo kufuga zile ni usafi au ??

Nimeandika kwa sababu wanaume wengi wamelisahau hili na kuona kama ni uanaume kufuga kumbe sio bali ni katika uchafu ule
Hongera kwa kuachana na ushoga
 
unatumia style gani kunyoa??
Kama unavonyoa wewe tu zile nywele za chini ya korodani na juu yake...

Au kwapani...

We itakuwa hujichambi wewe mana kama unaweza kufikisha mkono kwa kujichamba vipi uulize kunyoa
 
mie nadhani Njia nzuri ni kutumia Mshumaa , uwashe mara Paaaaaaaap tumekusomaaaaa
 
Atakua anajichanua chanuu ili msaidizi wake apitishe wembe
No. Mi nahisi amewasha mshumaa then anachuchumaa kwa style ili usimuunguze[emoji87] hawanyoi kwa wembe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Usizinyoe ziache tu. Muhimu tumia maji baada ya kumaliza haja kubwa ili kudumisha usafi.
Binafsi hua sizinyoi zamani nilikua nanyoa lakini zikawa zinaongezeka halafu zinakua kipilipili na ngumu.
Hata nywele za kifuani usizinyoe.
Uwe na amani
 
Kwa Me:Hapana sababu yoyote ya kunyoa,ila unaweza hamisha hyo akili ya kusafisha nyuma ,ukasafsha mbele(Dushele)

Kwa Ke: Hapo ndo penyewe ,asafishe pote yaani,from back to frontal papuchi[emoji23]
 
Wisdom

If you see a gentleman cleans every corner of his house, keep in mind that he espect a visit few moments to come
 
Nikienda nikirudi nakuta vituko ni vile vile jf . kanyoe hamna shida.
 
Siku zote njia ya CHOO Kisichotumika ina majani......mwanaume RIJALI nywele hizo hazikushuhulishi.....
 
Daah?? Ukisikia mtu anakua shoga ndio hivyo hayo matatizo brow maana ni nani atakaekunyoa hiyo zero achana na hiyo habari utakua shoga sasahiv c unajua nyele chipulizi Zakianza kunakua na muasho sasa ukiwa shwa c utataka kukunwa utakunwa na nini
 
Ambao hamtoi makata mavi nna wasiwasi na harufu zenu nyakati za mgegedo.......

Na sidhani kama mfereji wa chemba kama unaoshwa......maana mtasema mnaosha ili iweje na nani aone....

Lol acheni uchafu
 
Kwani wee ke mbona unawashwa ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…