BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Tuanzie Japo..Alikataa kuiuza yeye au alikataa isiuzwe hata kama hayupo hai?
Alikataa enzi za uhai wake hata kama akitanguliaAlikataa kuiuza yeye au alikataa isiuzwe hata kama hayupo hai?
KivipiHapana . Wazingatie mahali wanaweza kuludi maisha yakifeli.
Akiwa ametangulia mbele za hakiTuanzie Japo..
Jibu likija Marehemu alikataa isiuzwe akiwa Hai au amekufa..
Huo urithi uheshimiwe...
Acha kutisha watuKuna mtu anatafuta kuwa kichaa.
Mkuu wazee wanaiona Keshi Yetu.Akiwa ametangulia mbele za haki
Mh Dalali umekomaa kweli kuuza kibanda cha wana!, 10% inakutoa roho.Acha kutisha watu
Kama alisema hata ni kifa.... waiache kwani si mali yao...Alikataa enzi za uhai wake hata kama akitangulia