Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Vipi mli uza ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uridhi ndio nn nawewe?Kwa vizazi vya hovyo vya kiafrika solution NI kuuza..Kuna wanafamilia wanataka kufuja na kuneemeka wenyewe kwenye rasilimali za uridhi haangaiki kutafuta kwingine NI hapo hapo na akipata mwenza mjinga...kwa hulka yetu waafrika suluhisho NI kuuzwa Kama haikuwa nyumba ya biashara maana mwisho wa siku itauzwa au itakosa namna ya kuuzwa au kuendelezwa na kuwa uchafu kizazi Cha nne kikija kinataka kuuza Cha tatu kitapinga na ulitokea mgao itakuwa NI peanuts
Ikiwa kuna wasia aliyouacha marehemu tena wa maandishi na kusajiliwa wa kuitoa nyumba wakfu, hiyo nyumba haiwezi kuuzwa, au alikwisha wagawia watoto wake baadhi ya mali toka alipokuwa yuhai, lakini mtu akifariki tu umiliki wa mali zake unakwenda kwa warithi, hii ni kutokana na utaratibu wa waislamu.Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya