Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
600ml-1.2bl kutegemeana na eneo ilipo!Thamani ya hiyo nyumba hapo kariakoo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
600ml-1.2bl kutegemeana na eneo ilipo!Thamani ya hiyo nyumba hapo kariakoo?
Time frame ya kurithishana mpaka kufikia warithi 150 at per inakataa boss. Aliyeijenga hiyo nyumba aliirithisha mwaka gani? Maana assumption ni kuwa kufikia warithi hai 150, hao ni vilembwe, vilembwe wa marehemu.600ml-1.2bl kutegemeana na eneo ilipo!
Hapa itakuwa umekula si halali Yako lakini kama ni urithi unaokuhusu ni Mali halali kuanzia pale mwenye mali anapokufa basi uhalali unabaki kwa warithi na ndiyo wanabeba maamuzi ya hizo Mali...Umesamsaliti marehemu. Ni sawa tu na mtu akakuachia pesa upeleke nyumbani kwake halafu akafa kisha ukaila. Hakuna sheria ya kukuhukumu ila unabaki kuwa msaliti.
Hakuna hesabu itakayokubali hiyo mantiki yakeTime frame ya kurithishana mpaka kufikia warithi 150 at per inakataa boss. Aliyeijenga hiyo nyumba aliirithisha mwaka gani? Maana assumption ni kuwa kufikia warithi hai 150, hao ni vilembwe, vilembwe wa marehemu.
Huyo mwenye mali alikua akitatua matatizo mwenyewe bila kuiuza.Hapo hakuna uvivu...
Shida inakuja pale ambapo Mali sasa inamilikiwa na wengi kwahyo suluhu ya hapo ni kuuza kwa sababu kuigawa nyumba kwa wengi haiwezekani...hapo hakuna suala la uvivu
Yes boss, ndo maana nikasema kama marehemu kakwambia nakuachia hii nyumba ila usiuze, uwape wajukuu zangu halafu wewe ukauza umekula si halali yako.Hapa itakuwa umekula si halali Yako lakini kama ni urithi unaokuhusu ni Mali halali kuanzia pale mwenye mali anapokufa basi uhalali unabaki kwa warithi na ndiyo wanabeba maamuzi ya hizo Mali...
Ujukuu hauwezi kuwa mrithi halali kama marehemu atakuwa na watoto hata kama alisema labda iwekwe katika maandishi kutoka kwa marehemu (tunaita wosia wa marehemu) tofauti na kufanya hivyo bado kauli ya marehemu haipaswi kuongoza walio wazimaYes boss, ndo maana nikasema kama marehemu kakwambia nakuachia hii nyumba ila usiuze, uwape wajukuu zangu halafu wewe ukauza umekula si halali yako
Ndio nimeshasema msiuze kitu changu.Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Sasa mbona unajipinga mwenyewe tena boss?Ujukuu hauwezi kuwa mrithi halali kama marehemu atakuwa na watoto hata kama alisema labda iwekwe katika maandishi kutoka kwa marehemu (tunaita wosia wa marehemu) tofauti na kufanya hivyo bado kauli ya marehemu haipaswi kuongoza walio wazima
MkuuWenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Nadhani wewe ndiyo unajichanganya hapoSasa mbona unajipinga mwenyewe tena boss?
Unakubali kwamba mtu akikupa pesa upeleke nyumbani kwake halafu akafariki kisha ukaila umekula isiyo halali ila unakataa kwamba mtu akikupa nyumba yake umtunzie kwa ajili ya wajukuu zake yeye akafariki kisha ukaiuza hiyo inakuaje ni halali?
Ok, baba yako kakupa pesa upeleke kwa wajukuu zake kisha akafariki na wewe ukaila, umekula halali yako?Nadhani wewe ndiyo unajichanganya hapo
Pesa ya mtu (kwa maana ww huna uhalali nayo hata kama ikitokea mwenye pesa anakufa wewe sio mrithi) kwahiyo kitendo Cha kutofikisha hiyo pesa kwa muhusika basi umezurumu halali ya wengine
Tukija kwenye mali ambayo wewe ni mrithi halali mfano baba Yako amefariki lakini wakati anafarikiakakwambia usiuze ili wake kurithi wajukuu bila kuacha maandishi ya kisheria maana yake maamuzi ya hii mali yatabaki ndani Yako kwasababu wewe ndiyo mrithi halali na sio wajukuu...ukiuza hujamsaliti yeye kwa sababu yeye ameshafariki tayari na uhalali unabaki kwako
Hapo umefanya wizi japo una uhalali nayo😅Ok, baba yako kakupa pesa upeleke kwa wajukuu zake kisha akafariki na wewe ukaila, umekula halali yako?
Hahaha, Basi tumeshaelewana boss.Hapo umefanya wizi japo una uhalali nayo😅
Hapo hamna wanachotafuta! Hakuna jasho lao hapo. Baada ya muda watamaliza hizo pesa bila kufanya lolote na mahali pa kuishi watakuwa hawana tena! na watahaibika mjini.Ndo maana wanauza ili watafute vyao
Moja kati ya shauri bora sana barikiwa sana, kuuza sio suluhisho la matatizo yenu, msiuze msiuze.Mim naona fwafteni ushauri wa marehemu aliowapa kuliko kukimbilia kuuza soloution mjipange mtafte vyenu tu mkiuza mtaishia kutapatapa ayo matatizo mlionayao Bila mali ya Marehemu kuwepo ina maana mnegeshindwa kutatua