Mali za mtu aliyekufa huwa ni za warithi, hivyo hao ndiyo wenye maamuzi ya nini kifanyike katika mali hizo, lakini kwa ushauri wangu ni bora kila mtu achukue cha kwake baada ya kifo tu, kwani mkichelewesha na wakati ukipita ukorofi lazima utatokea ikiwa kizazi kingine kitakapotaka mali za wazazi wao ambao ndiyo warithi.Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Watafute vyao!Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Nyumba ya familia siyo busara kuuzwa, hapo ndio kwao atakayhama maisha yakimpiga atarudi hapo ndio nyumbani.Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Dawa ya watu bogus kama hawa unawaambia wapige hesabu nyumba inauzwa shingapi kila mtu mgawo wake shingapi unawalipa pesa yao kisheria wasepe halafu utaona watakapoishia.Watafute vyao!
Kwa nini msitafute mali zenu kama marehemu alivyokomaa?? Alikataa nyumba yake isiuzwe ili ibaki kama alama ya mji wake kwa watoto, wajukuuu na vilembwe.Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Hiyo nyumba ipo mjini na kama utambulisho wa mji wake Kuna nyumba ambayo alimjengea mama yake(bibi) ipo kijijini ambako ndio chimbuko la ukoo mzimaKwa nini msitafute mali zenu kama marehemu alivyokomaa?? Alikataa nyumba yake isiuzwe ili ibaki kama alama ya mji wake kwa watoto, wajukuuu na vilembwe.
Kwa hiyo kama iko mjini ndiyo haiwezi kuwa alama yake? Huko Kijijini kamjengea mama yake kama ulivyosema si kwake. Mimi nina nyumba yangu Mburahati Dar ndiyo nyumba yangu ya kwanza kujenga kwa jasho langu, kiukweli nisingependa pauzwe bali watoto na wajukuu zangu wapaendeleze ili siku moja mjukuu au kitukuu waje kuvunja na kujenga ghorofa na mji uendelee. Kuuza nyumba ili wagawane pesa wala siyo suluhu ya kutoka kimaisha, tena wasipokuwa makini wanaweza ishia kulala stend...Hiyo nyumba ipo mjini na kama utambulisho wa mji wake Kuna nyumba ambayo alimjengea mama yake(bibi) ipo kijijini ambako ndio chimbuko la ukoo mzima
Inakuwaje kuuza nyumba ya urithi ukawa ubogus Kila mtoto alishakuwa mtu mzima na kwa bahati mbaya mambo yao hayajawaendea vizuri wanatafuta mitaji na kuuza nyumba ni the only way ya kuwa na mtaji ambao utakuwa hauna presha ya marejesho ambapo kwa malengo baadae wanaweza kuchanga na kujenga nyumba Tena kwa ajili ya familia nzimaDawa ya watu bogus kama hawa unawaambia wapige hesabu nyumba inauzwa shingapi kila mtu mgawo wake shingapi unawalipa pesa yao kisheria wasepe halafu utaona watakapoishia.
Swali limekosa mantiki nyumba ipo ndio maana inauzwa isingekuwepo basi wazo la kuuza lisingekuwepoMarehemu asingeacha hiyo nyumba mngeuza nini?
Hakuna ubaya mkuu...Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Hiyo Ina apply kwa family zinazojiweza kwa watu wa kipato Cha chini ni Bora Kila mtu afe na hamsini zake sababu hiyo nyumba inaweza kuwa mwanzo wa matatizo ya kupigana juju ukizingatia ni watoto wanneKwa hiyo kama iko mjini ndiyo haiwezi kuwa alama yake? Huko Kijijini kamjengea mama yake kama ulivyosema si kwake. Mimi nina nyumba yangu Mburahati Dar ndiyo nyumba yangu ya kwanza kujenga kwa jasho langu, kiukweli nisingependa pauzwe bali watoto na wajukuu zangu wapaendeleze ili siku moja mjukuu au kitukuu waje kuvunja na kujenga ghorofa na mji uendelee. Kuuza nyumba ili wagawane pesa wala siyo suluhu ya kutoka kimaisha, tena wasipokuwa makini wanaweza ishia kulala stend...
Hawaishi hapo wanajitegemea wamepangaMarehemu alipambana wamepata pa kuishi, wao wameshindwa hata kupambania matumbo yao????
Kajifunze kenya nimekupa mfano kwa nini wenye ardhi na nyumba zao wanaitwa landlordWenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Kwa kauli hiyo, Inaonekana wewe ndiye muasisi wa wazo la kuuza hiyo nyumba. Kama mko wengi trust me, wengi wenu mtajutia uamzi huo.Hiyo nyumba ipo mjini na kama utambulisho wa mji wake Kuna nyumba ambayo alimjengea mama yake(bibi) ipo kijijini ambako ndio chimbuko la ukoo mzima
Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya