hahahaha mada za paschal wakati mwingine haziko direct kiivo inabidi uwe unajua yanayaoendelea nyuma ya pazia kupata maana kamilihahahahhahahahahahha hakika wewe sasa ndo umeniamsha nw !haijawah tokea Pascal Mayalla asiandike kimafumbo kumhusu mbatuzaji ahahha nacheka sana jaman jkhaa!salute kaka
hahahaha mada za paschal wakati mwingine haziko direct kiivo inabidi uwe unajua yanayaoendelea nyuma ya pazia kupata maana kamili
Hahaha...basi ngoja tusubirie ubuyu....Pasco haanzishi threads hivi hivi, sooner or later tutabaini lengo lake.
Umeandika vizuri sana mkuu, Daudi alileta laana nyumbani kwake. Hata sisi tunaochepuka leo, utakuta mtu kaoa/kaolewa lakini dyudyu lake lipo uchi kwa kila mtu, ni laana tu ns mikosi tunaitafuta kwa familia zetu, ni heri ukachukua hatua moja mbele, DIVORCE then uanze kukitembeza kwa kila mtu.Tuanze na kusahihisha uongo wako. Daudi hakubarikiwa kwa kutembea na mke wa Uriah kwa jina Bathsheba. Kinyume chake yafuatayo yalitokea:
Mwisho, Daudi alijutia na kutubu kwa Mungu kwa dhambi hii mbaya kabisa. Maandiko pia yanasema: "Ndoa iheshimiwe na watu wote"!
- Balaa ndani ya nyumba ya Daudi: Tamar, dada wa Absalom kupendwa na kuliwa tunda kinguvu na kaka yake Amnoni.
- Absalom kumuua Amnoni-wote hawa ni watoto wa Daudi
- Ufalme ukaenda kwa Solomoni (mtoto wa aliyepata kwa mke wa Uriah) badala ya kwenda kwa watoto wake wa ndani ya ndoa.
- Absalom kutaka kumpindua Baba yake.
- Adonia kujitangaza kama mfalme mtarajiwa wakati Daudi akiwa hoi kitandani na wakati ahadi ya ufalme ilikuwa kwa Solomon.
- Ufalme kugawanyika baada ya kifo cha Daudi.
Nakumbuka kauli yake aliyosemaBebi kaolewa na nani?
Duh, Magu kafika bei pale?
Cha Arusha atakiweza?
Rais wa ovyo kabisa kutokea Tanzania.Nakumbuka kauli yake aliyosema
''Sijakuja ikulu kutafuta wachumba''
Hahahaha
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.
Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani mtu baki, ukampenda mwanamke kama huyu na ukamtimizia akatosheka?
Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?
True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true
Na nyie akili zenu wakati mwingine sijui huwa mnawaza nini, kilichotolewa kwenye 'uzi' kingine we umesharukia kwa rais.... anyway hata huyo uliemtaja huongozani nae kila sehemu kujua anakomlia huyo waziri (kwa msemo wako maana we ndio umelileta hilo, halikuwepo hapa)... Halafu wakati mwingine kujishtukia ndio kunako waadhiri siku zote.Raisi wa nchi huwa anamkulia wapi huyo mama? Kwa maana raisi wetu hatoki nje ya nchi, sasa raisi anawezaje tu kutembea na Waziri kirahisi rahisi hivi hivi? Mmemtafuuta koote raisi wetu mmemshindwa sasa mnaaza character assassination, ...
Subiri nkeo akipendwa na njemba nae akaitikia mziki ndio uje tena na swali hili.Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.
Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani mtu baki, ukampenda mwanamke kama huyu na ukamtimizia akatosheka?
Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?
True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true
Afadhali kivista au kibito, ukamkuta anasukuma ndinga la maji taka au la kuzolea taka!Leo mpaka na Wewe uko huku Mkuu? Nahisi kuna tatizo mahala si bure! Siku zote ukishazoea kumuona Mtu anaendesha tu yale Malori makubwa makubwa kabisa ya Mafuta / Mizigo ya kwenda Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi halafu siku ukambahatisha kumkuta anaendesha Kibito au Kivitsi lazima tu utashtuka / kushangaa.
Hana tofauti na dotard trump [emoji41]Rais wa ovyo kabisa kutokea Tanzania.