Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

hahahaha mada za paschal wakati mwingine haziko direct kiivo inabidi uwe unajua yanayaoendelea nyuma ya pazia kupata maana kamili

90% huwa zipo hvyo mie nikionaga uzi wake naanzaga kucheka kwanza! ila leo nimechemka aiseee sikufikirisha ubongo kbs ! nimecomment kwa hisia zaid lo! YAMENISHUKA
 
MAYALA, USIDANGANYE WATU. TUSOME UPYA BIBLIA 2 Samweli 12:9-12 ''Kwa nini umelidharau neno la BWANA, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako...basi sasa, upanga hautaondoka nyumbani mwako,...BWANA asema hivi, Angalia, nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili (AKIMAANISHA MCHANA KWEUPEEEEE UNAONA MCHEPUKO WA MKE WAKO UNAMFUATA MUBASHARA MKEO BILA KUPEPESA MACHO)...wewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua''.
Naomba unijibu maswali haya kwa hoja (SIYO HOJA ZA CRITICAL THINKING AND ARGUMENTATION) namaanisha hoja za Kibiblia kwa kuwa umemega sehemu ya Biblia kujenga hoja yako:
1. Daudi alibarikiwaje?
2. Wapi Biblia imesema kuwa mkewe Uria alikuwa na mgogoro wa kindoa au kutotoshewa na mume wake?
3. Je, unaamini kuwa yule yule aliyesema USIZINI ndiye yule yule jana, leo na hata milele?
4. Unakumbuka kuwa wake zake Daudi wote waliwahi kuchukuliwa mateka na wakaenda kuvuliwa nguo na mtu mwingine tena Daudi akiwa mfalme? Je, hiyo kwako ndiyo baraka?
5. Unamkumbuka Amnoni mtoto wa Daudi alivyotimiza neno la BWANA (2 Sam 13:1-) kwa kuzini na dada yake (Tamari) tena kwa kumbaka? Je, Uhalisia wa kilichoendelea mara baada ya kubakwa kwa yule binti ndani ya familia ya mfalme Daudi ni mfano wa kuiga hata tutamani wake za watu? (rejea Absalomu mtoto mkubwa wa Daudi alivyomuua Amnoni miaka miwili baadae tangu binti abakwe)
6. Unazungumziaje jaribio la mapinduzi ya kijeshi alilofanya Absalomu kwa mfalme Daudi? Kosa la kutamani mke wa mtu halikuwahi kumwacha salama Daudi, aliapiwa na Mungu kuwa UPANGA hautaondoka nyumbani mwake, je na wewe waweza kuwa-precaution wazinzi wote kwa kufuata hoja hizi hapa juu???
OGOPA SKETI YA MKE WA MTU, NAKUHESHIMU MZEE.
 
..mke wa mtu mtamu sana...mwaka jana mke wa mtu kanipa dudu lake nikapiga kiyama....kisa bwana wake hakuwa anamtimizia...eti kutwa kucha anashinda kwenye punyeto na porno....mwaka huu huyo wife amenipigia ananitafta...eti ameachana na mumewe jumla....duh.kumbe ndoa imevunjika baada ya kuonja utam nje.....nimesepa...maana sitaki kesi na jamaa yake...wake za watu wamekua shidaaaa siku hizi...
 
Huu ni upotoshaji wa Neno la Mungu. Mungu hakufurahia aliyofanya daudi (kumchukua mke wa kamanda wake wa jeshi)
 
Tuanze na kusahihisha uongo wako. Daudi hakubarikiwa kwa kutembea na mke wa Uriah kwa jina Bathsheba. Kinyume chake yafuatayo yalitokea:
  1. Balaa ndani ya nyumba ya Daudi: Tamar, dada wa Absalom kupendwa na kuliwa tunda kinguvu na kaka yake Amnoni.
  2. Absalom kumuua Amnoni-wote hawa ni watoto wa Daudi
  3. Ufalme ukaenda kwa Solomoni (mtoto wa aliyepata kwa mke wa Uriah) badala ya kwenda kwa watoto wake wa ndani ya ndoa.
  4. Absalom kutaka kumpindua Baba yake.
  5. Adonia kujitangaza kama mfalme mtarajiwa wakati Daudi akiwa hoi kitandani na wakati ahadi ya ufalme ilikuwa kwa Solomon.
  6. Ufalme kugawanyika baada ya kifo cha Daudi.
Mwisho, Daudi alijutia na kutubu kwa Mungu kwa dhambi hii mbaya kabisa. Maandiko pia yanasema: "Ndoa iheshimiwe na watu wote"!
Umeandika vizuri sana mkuu, Daudi alileta laana nyumbani kwake. Hata sisi tunaochepuka leo, utakuta mtu kaoa/kaolewa lakini dyudyu lake lipo uchi kwa kila mtu, ni laana tu ns mikosi tunaitafuta kwa familia zetu, ni heri ukachukua hatua moja mbele, DIVORCE then uanze kukitembeza kwa kila mtu.

Wenye ndoa wengi siku hizi ni bure kabisa.
 
Wana MMU,
Salaam.

Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.

Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.

Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.

Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.

Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani mtu baki, ukampenda mwanamke kama huyu na ukamtimizia akatosheka?

Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?

True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true

Leo mpaka na Wewe uko huku Mkuu? Nahisi kuna tatizo mahala si bure! Siku zote ukishazoea kumuona Mtu anaendesha tu yale Malori makubwa makubwa kabisa ya Mafuta / Mizigo ya kwenda Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi halafu siku ukambahatisha kumkuta anaendesha Kibito au Kivitsi lazima tu utashtuka / kushangaa.
 
Raisi wa nchi huwa anamkulia wapi huyo mama? Kwa maana raisi wetu hatoki nje ya nchi, sasa raisi anawezaje tu kutembea na Waziri kirahisi rahisi hivi hivi? Mmemtafuuta koote raisi wetu mmemshindwa sasa mnaaza character assassination, ...
Na nyie akili zenu wakati mwingine sijui huwa mnawaza nini, kilichotolewa kwenye 'uzi' kingine we umesharukia kwa rais.... anyway hata huyo uliemtaja huongozani nae kila sehemu kujua anakomlia huyo waziri (kwa msemo wako maana we ndio umelileta hilo, halikuwepo hapa)... Halafu wakati mwingine kujishtukia ndio kunako waadhiri siku zote.
 
Wana MMU,
Salaam.

Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.

Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.

Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.

Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.

Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani mtu baki, ukampenda mwanamke kama huyu na ukamtimizia akatosheka?

Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?

True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true
Subiri nkeo akipendwa na njemba nae akaitikia mziki ndio uje tena na swali hili.
 
Leo mpaka na Wewe uko huku Mkuu? Nahisi kuna tatizo mahala si bure! Siku zote ukishazoea kumuona Mtu anaendesha tu yale Malori makubwa makubwa kabisa ya Mafuta / Mizigo ya kwenda Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi halafu siku ukambahatisha kumkuta anaendesha Kibito au Kivitsi lazima tu utashtuka / kushangaa.
Afadhali kivista au kibito, ukamkuta anasukuma ndinga la maji taka au la kuzolea taka!
 
Back
Top Bottom