Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Nimeachwa kwenye mataa sijaambulia kitu hapa umeongea kwa mafumbo sana Mkuu please I need more elaboration[emoji120]
 
Ni uhalifu kama uhalifu mwingine, sasa ukitaka kuhua mke wa mtu hafai, kamatwa nae.
 
kwahyo ww unagongwa nje kisa upate pesa ya kujikim sasa unatofauti gan na wale wanaojipanga sinza kujiuza ili wapate pesa????

utakuta umeolewa au kuna kijana ana fikiria kukuoa sie wanaume tunapata tabu sana
 
Raisi wa nchi huwa anamkulia wapi huyo mama? Kwa maana raisi wetu hatoki nje ya nchi, sasa raisi anawezaje tu kutembea na Waziri kirahisi rahisi hivi hivi? Mmemtafuuta koote raisi wetu mmemshindwa sasa mnaaza character assassination, ...
Hiviii . . , wee msukule . . , mbona sijaona popote Paskali alipomtaja Raisi . . ? !
Au kuna jambo unataka kutueleza . . ?!

Anyway . . , labda na wewe ulimaanisha Raisi wa tiefuefu . .
 
Mkuu Pascal Mayalla, hii mada yako ina kufru ndani yake unless unazungumzia kitabu tofauti na Biblia Takatifu. Si kweli kuwa Daudi Mfalme alibarikiwa na Mungu kwa uhuni aliofanya.

Na mke wa Uria akasikia kwamba Uria mume wake amekufa, naye akaanza kumlilia+ mume wake.+ 27 Kipindi cha kuomboleza+ kilipokuwa kimepita, mara moja Daudi akatuma watu na kumchukua yule mwanamke, akamleta katika nyumba yake, naye akawa mke wake.+ Baada ya muda akamzalia mwana, lakini lile jambo ambalo Daudi alikuwa amefanya likawa baya+ machoni pa Bwana.
2Samweli 11: 26-27


Na Mungu alimuadhibu Daudi kwa dhambi yake

Kwa nini umelidharau neno la Yehova kwa kufanya yaliyo mabaya+ machoni pake? Uria Mhiti umempiga kwa upanga,+ nawe ukamchukua mke wake awe mke wako,+ naye ukamuua kwa upanga wa wana wa Amoni. 10 Na sasa upanga+ hautaondoka nyumbani mwako mpaka wakati usio na kipimo,+ kwa sababu ulinidharau mimi, ukamchukua mke wa Uria Mhiti, awe mke wako.’ 11 Yehova amesema hivi, ‘Tazama, ninaleta msiba juu yako kutoka katika nyumba yako mwenyewe;+ nami nitawachukua wake zako chini ya macho yako mwenyewe na kumpa mwanamume mwenzako,+ naye atalala na wake zako chini ya macho ya jua hili.+ 12 Ingawa wewe ulitenda katika siri,+ kwa upande wangu mimi, nitafanya jambo hili mbele ya Israeli+ wote na mbele ya jua.’”+ 13 Basi Daudi akamwambia+ Nathani: “Nimemtendea Yehova dhambi.”+ Kwa hiyo Nathani akamwambia Daudi: “Yehova naye ameacha dhambi yako ipite.+ Hutakufa.+ 14 Ingawa hivyo, kwa kuwa bila shaka hukumheshimu Yehova+ kwa jambo hili, pia yule mwana, uliyemzaa, atakufa hakika.”
2Samweli 12:9-14
Kwa dhambi hii Daudi alitubu kwa kufunga na kuomboleza, na ndio tulipopata Zaburi ya 51. Mimi nimemaliza, huko kwenye kutoshelezana nakabidhi jukwaa kwa mafundi
 
7spirits . . [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa wewe hutaki Mungu amwadhibu mfalme Yohana wa Kolomije kwa kumjaza mke wa mtu mimba . . ?
 
Noted! Meaning is internal and individual.
 
Hasemi alibarikiwa baada ya kufanya ni kwamba pamoja na kufanya baraka ziliendelea kuwepo
 
 
kwahyo ww unagongwa nje kisa upate pesa ya kujikim sasa unatofauti gan na wale wanaojipanga sinza kujiuza ili wapate pesa????

utakuta umeolewa au kuna kijana ana fikiria kukuoa sie wanaume tunapata tabu sana


ndg nina maisha yangu ! ukinisoma huenda ukanielewa acha kukurupuka dogo! nisome fresh
 
Nimeachwa kwenye mataa sijaambulia kitu hapa umeongea kwa mafumbo sana Mkuu please I need more elaboration[emoji120]


siku 1 mkulu aipiga simu 360clouds akasema anataman azifaham familia za watangazajwa 360! siku waiyokuja mume wa baby alikua amevaa suti kuubwa sana sana !sasa jana walikua wanamsema maalimu sief kuvaa suti oversize nikawa nashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…