Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Duh
 
Are you sure Daud did exist? Is Daud our standard? Is Daud our authority? au mastory ya kupumbaza watu?
 
Hasemi alibarikiwa baada ya kufanya ni kwamba pamoja na kufanya baraka ziliendelea kuwepo
[Kwa dhambi hii Daudi alitubu kwa kufunga na kuomboleza, na ndio tulipopata Zaburi ya 51. Mimi nimemaliza, huko kwenye kutoshelezana nakabidhi jukwaa kwa mafundi]

Nafikiri hiyo kwenye mabano ndio sentensi yangu ya hitimisho. DAUDI ALITUBU.


Kama ungejisumbua kidogo kusoma Biblia, ungeona ghadhabu ya Mungu ilifananiaje juu ya Daudi:
1. Mtoto aliyezaliwa ktk dhambi ile alikufa 2Samweli 12:14
2. Mungu alimlaani Daudi kwa damu ya Uria 2Samweli 12:10

Kwa hiyo bwana mkubwa fahamu kuwa Daudi alilaaniwa na huu haukuwa utani. Ukisoma 2Samweli 16:5-8 utaona laana ikianza kazi yake na ukisoma 2Samweli 16:10-11 yeye mwenyewe Daudi anakiri kuwa Shimei ameagizwa na Mungu kuyatamka mabaya juu yake.

Kama haitoshi, Absalom mwanaye Daudi aliwalala masuria wa Mfalme Daudi, ikatimia laana ya Mungu juu ya zinaa ya mfalme. Hizo ni baraka? Soma 2Samweli 16:22 na kuendelea uone hata upanga Mungu aliomlaani Daudi kuwa hautaondoka nyumbani mwake ukiamka. Absalom anautafuta uhai wa babaake.

Anyway, Pascal Mayalla ana utata mwingi wa 'kimaudhui' aandikapo. Sitashangaa kujikuta MMU - Siasa Branch nikisolve equation King David + Bath-Sheba = Bwana Yule + 'X' na mimi sijui hesabu
 
Umetisha mkuu big up
 
Ndo nikupendeacho dada yangu wewe, hunaga unafiki in magu's voice, hakuna ubaya kumpenda mke wa mtu, wakituwowa wanatufanya kama kanyagio wanasahau na sie Bado tunachemka loh!!!
sasa lofa kama wewe ni huwezi kuolewa
 
Kwn huyo mtoa mada nayey amekuwa Daud?we mtoa mada mtaman tu mke wa MTU alafu kalale nae kW kuwa Daud alifanya hvyo hapo utajua kuw maharage ni mboga!!
 
Oukey my love, mke asiesikia la mumewe ni mke mpumbavu nami siko ivo, Addict ulisema siolewi umeona sasa ukisema cha nini wenzio wanalia kunipata lini
Datz y I love you Darling coz you never fail to understand !!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] .

Maana nilitaka kushanga ,,my kapeace ,,a woman with pretty face and good head ,a woman with a beautiful heart ,, anawezaje kua ivo ?????.

Leave em baby ...
 
tuambie umempenda mke wa nani, Daudi alikuwa mwazi
 
Kumpenda sio shida shida inakuja kama unataka kumgonga

Hapo ukidakwa utajua mifano yako ina tija maa lah

Mana nshashudia mtu anakaatwa vzri tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…